Namshukuru Mungu kwa kufanikisha malengo yangu!

? ? ?Teh mkuu kale kademu umefanikiwa kukapata......!
Anyway hongera mkuuuu
 
hivi ukiamua kushare furaha yako bila kusema afu nanyie mnapongeza tu...hata hamjui anafurahia ushindi gani....kha!!!
 
ikiwa ni siku ya 12 tu tangu mwaka uanze nashukuru nimetimiza moja ya maazimio yangu matatu makubwa niliyoyapanga kwa mwaka 2016, yaani nina furaha sana usiku wa leo, wana MMU wenzangu nawadediketia wimbo wangu ninaoupenda mno kama upendo wangu kwenu
UNCOVER BY ZARA LARSSON

Nanyi pia mfanikiwe wandugu panapo uhai, usiku mwema!
That's it thanks
 
Ikiwa ni siku ya 12 tu tangu mwaka uanze nashukuru nimetimiza moja ya maazimio yangu matatu makubwa niliyoyapanga kwa mwaka 2016, yaani nina furaha sana usiku wa leo, wana MMU wenzangu nawadediketia wimbo wangu ninaoupenda mno kama upendo wangu kwenu.

UNCOVER BY ZARA LARSSON.

Nanyi pia mfanikiwe wandugu panapo uhai, usiku mwema!
hongera peterchoka naamini imani na maombi yako kwa Mungu ndio yamefanikisha hili. Niombee na Mimi huyu Shemu Wako habari ya hapa aeleweke ili pingu za maisha zichukue nafasi yake
 
Back
Top Bottom