Namshangaa Zitto Kabwe kwa hoja dhaifu

Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II
Safari ya dodoma vipi huenda hata tani hizi ni hewa
 
JKT nao wameingia kazini kutetea chama. Wanapoteuliwa kuongoza chama mnalalamika nini kumbe ni wanachama siku nyingi.
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II
Zitto anawapelekesha ma-CCM kwelikweli!
 
Tuonyesheni hata kwa picha
 
Zito anashangaza sana kwa kauli zake na hasa hii ya kujiuzuru ubunge kama hakuonyeshwa tani 1.5m za nafaka.Hivi ilikuwa lazima kutishia kujiuzuru ubunge kwa kutegemea taarifa alizonazo za tani 90 eifu?.Nijuavyo ana madeni ambayo anatakiwa kuyalipa kwa kupitia kazi yake ya ubunge kama alivyotoa tamko la mali zake mwezi uliopita. Kujiuzuru kwake kuna maanisha kuwa ataanza kuuza assets zake zote ili kulipa deni alilonalo au ana vyanzo vingine vya mapato?.Serikali imesema ina tani 1.5m hii inaweza kuwa katika nafaka iliyoko gharani au kama pesa ambayo haijatumika kununulia nafaka ambayo iko mikononi mwa wakulima.
Elimu elimu elimu, maneno meeengi hewa, ungemuelewa zitto japo kidogo usingeandika ugoro mrefu hivi
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II

Mkuu naona unazungumzia mashamba, sisi tunazungumzia uwepo wa chakula cha akiba.

Unaeza kuwa na hayo mashamba, na usipumzike hata mwaka mmoja na usivune kitu......

Washauri jkt watwae mashamba mengine zaidi.........
 
Mkuu, maghala yote ya wakala wa chakula hapa nchini (NFRA) yanafahamika yaliko na hakuna hata moja lililoko jeshini bali yako Makambako, Kipawa, Kibaigwa, Songea na kwingineko na kamwe hakuna ghala lililoko kwenye kambi za jeshi ulizozitaja. Chakula kilichoko Oljoro, Mgambo, Tabora na hata pale 41 KJ (Majimaji, Nachingwea) ni kwa ajili ya matumizi ya askari wenyewe. Acha kuropoka kiongozi, serikali haina chakula cha kutosha kuweza kukabiliana na baa la njaa katika kipindi hiki.
nimeipenda hii ya ''Acha kuropoka kiongozi,''
 
IMG-20170118-WA0005.jpg
huu ni uwezo wa maghala ya taifa ya kuhifadhi chakula,yana uwezo wa kuhifadhi chini ya tani laki tatu,swali,hizo tani milioni moja na nusu zimehifadhiwa wapi? Kwenye maghala yapi?

Au wanahesabu na madebe ya mahindi majumbani kwetu?
 
Hizo tani M 1.5 kama zipo si mzioneshe maana najua kwa mihemko ya sasa hivi zingekuwa zimeoneshwa tayari.
 
Zito alisema atajivua ubunge kama serikali ina hizo tani 1.5m, unafikiri kajiongelea tu kama mwendawazimu?
Si kila jambo la ajabu linafanywa au kusemwa na watu wenye matatizo ya akili tu yapo mengine yanafanywa au kusemwa na watu wenye akili timamu sasa bhasi ndo maana tunahoji uelewa na ufahamu wa huyu mtu au anapitia wakati gani kwa kipindi hiki
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II
Ww kazi kusifia vibofu kisa, tu kasema john
John kasema serkali haina shamba hao unataja ni ya serkali?
Huo ujinga wako wapelekes kule chamwino
 
Zito anashangaza sana kwa kauli zake na hasa hii ya kujiuzuru ubunge kama hakuonyeshwa tani 1.5m za nafaka.Hivi ilikuwa lazima kutishia kujiuzuru ubunge kwa kutegemea taarifa alizonazo za tani 90 eifu?.Nijuavyo ana madeni ambayo anatakiwa kuyalipa kwa kupitia kazi yake ya ubunge kama alivyotoa tamko la mali zake mwezi uliopita. Kujiuzuru kwake kuna maanisha kuwa ataanza kuuza assets zake zote ili kulipa deni alilonalo au ana vyanzo vingine vya mapato?.Serikali imesema ina tani 1.5m hii inaweza kuwa katika nafaka iliyoko gharani au kama pesa ambayo haijatumika kununulia nafaka ambayo iko mikononi mwa wakulima.
Ndo umeongea nin hapo?
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II
Mbona hujaweka idadi tujue kila ghala lina Tani ngap?
Halafu nlitaka kujua, hivi maghala ya chakula ya serikali yako jeshini?
Halafu Mukulu si alisema serikali haina shamba sasa hzo Tani za chakula zmetoka wap?
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II

Kwa hiyo wananchi wote wako JKT? Hebu futa hii urudi upya wengi wetu humu tumepita huko JKT kwa hio hayo maghala tunayajua
 
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.

Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.

Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT

Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole

Ghala namba mbili Oljoro JKT

Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA

Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora

Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ

Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.

Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima

Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.

Salamba II
Umesoma ripoti inayosema kuhusu chakula kilichohifadhiwa?
 
kwani siku hizi NRFA wanahifadhi mahindi jeshini?????
Mkuu kwa serikali tuliyonayo hajakosea huyo resource zinaweza kuchukuliwa popote na zikawa allocated sehemu nyingine kinyume cha utaratibu na mpangikio na hakuna atakaye uliza!refer tetemeko kagera!
 
Back
Top Bottom