Nampenda sana mpenzi wangu ila michezo yake inanipa wasiwasi..

View attachment 470244Kupenda ni ugonjwa na usiombe kupenda adi kuubwaga moyo na uliempata ukawa na malengo nae ya kuishi nae kama mke na kujenga familia kiukweli kwa mwanamke unaempenda na una malengo nae kuna michezo huwezi kucheza nae huwa kwa baadhi ya wanaume huwafanya hii michezo mwanamke ambaye huna feature nae kwa mwanamke unaempenda kiukweli huwezi kusodoma nae ila huyu mwanamke nampenda na kiukweli kaumbika ila ananitatiza na kunipa waswas tuwapo faragha kwa style zake tuu inakaa kuna kitu ananitega na anataka kunipa najiuliza nifanyeje? Maana anadai kuna kitu simtendei haki maana kila anapojaribu kunitega najikataa kaniahidi kesho kuna kitu anataka kunipa maana ni siku special kwake Valentine's day.. Kiukwel nampenda sana na natamani awe mke wangu wa kufa na kuzikana sitaki kumfanyia huo mchezo kiukweli napata waswas je nisipomtekelezea si atanisaliti? Nimfanyeje huyu kiumbe?
unaoneka wewe wa dar.na wako wa pwani 071
 
Kama huwezi achana naye huyo mwanamke atakusumbua ukioa. Tena wala sio level zako anakupwelepeta
 
Mapenzi ni Utundu ,Naona anakuonyeshea Mautundu!

Kama anamaanisha kweli Mpe darsa kuhusu Matokeo hasi kama atakuwa Mgumu kuelewa basi hakuna namna,kuwa Miongoni Mwa walioweka rekodi kwake (Manaake kataka mwenyewe Wembe wa Topaz).
 
tatizo huwa tunakosea sehemu ndogo sana...unapopata tatizo usilikimbie...kama unaweza kula kisha muoe...tafuta daktari wa magonjwa ya akili anza clinic wewe na mwenzako ili umshawishi aache uo mchezo...akiaribikiwa wewe utakuwa ni chanzo maana ulikuwa na uwezo wa kumsaidia
 
utamkwepa mpaka lini?? na hata ukisema uendelee kumkwepa ukija kuishi nae huyo atakupa shida maana utaendelea na msimamo wako mwisho wa siku atatendewa hiyo anayoiita haki na wengine nje ya ndoa, ondoa malengo yako kwake anza kujizoeaza taratibu maana kuacha unapopenda inahitaji utayari wa nafsi. ila kumbuka hiyo dhambi haisameheki
Mkuu dhambi ya kukufuru tuuu ndio haisameheki ila ya kuzibua mtaro imesema hutoingia mbinguni.

Sijui inamaana gani lakini
 
Huyu binti namfahamu,usipate shaka uzuri mawasiliano yake ninayo na tunaelewana sana huwa anakuja hapa jirani mara nyingi hilo nitalitatua on your behalf usihofu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom