View attachment 470244Kupenda ni ugonjwa na usiombe kupenda adi kuubwaga moyo na uliempata ukawa na malengo nae ya kuishi nae kama mke na kujenga familia kiukweli kwa mwanamke unaempenda na una malengo nae kuna michezo huwezi kucheza nae huwa kwa baadhi ya wanaume huwafanya hii michezo mwanamke ambaye huna feature nae kwa mwanamke unaempenda kiukweli huwezi kusodoma nae ila huyu mwanamke nampenda na kiukweli kaumbika ila ananitatiza na kunipa waswas tuwapo faragha kwa style zake tuu inakaa kuna kitu ananitega na anataka kunipa najiuliza nifanyeje? Maana anadai kuna kitu simtendei haki maana kila anapojaribu kunitega najikataa kaniahidi kesho kuna kitu anataka kunipa maana ni siku special kwake Valentine's day.. Kiukwel nampenda sana na natamani awe mke wangu wa kufa na kuzikana sitaki kumfanyia huo mchezo kiukweli napata waswas je nisipomtekelezea si atanisaliti? Nimfanyeje huyu kiumbe?