Raha ya dakika tatu iharibu urafiki uliodumu miongo mitatu. Aidha marinda yanatatuliwa hivi hivi anajiona kama huyu jamaa alivyovyotaka kufanya endeleaKabisa ila unajua tatizo nini hajataka kuona mbali ndio maana.
Ye kaona kwenye kujaza na kujaziwa pekee.
Tumezoeana kiasi cha kunifanya sasa hivi niwe serious na mpango wa kumwomba thawabu aliyojaliwa.
Wandugu naombeni ushauri wa kisaikolojia juu ya suala hili kwa kuwa na yeye yupo tayari kunipatia kwa sababu nilimjaribu kumwomba siku moja aliniambia niandae mazingira ya kujaza na kujaziwa.

Mwambie rafiki yako mbadilishane naye, mpe wa kwako na yeye akupe wa kwake.Tumezoeana kiasi cha kunifanya sasa hivi niwe serious na mpango wa kumwomba thawabu aliyojaliwa.
Wandugu naombeni ushauri wa kisaikolojia juu ya suala hili kwa kuwa na yeye yupo tayari kunipatia kwa sababu nilimjaribu kumwomba siku moja aliniambia niandae mazingira ya kujaza na kujaziwa.
Raha ya dakika tatu iharibu urafiki uliodumu miongo mitatu. Aidha marinda yanatatuliwa hivi hivi anajiona kama huyu jamaa alivyovyotaka kufanya endelea
Hajui kama kuna watu wamechomwa moto hivi karibuni ArushaKwa hiyo, kwa roho saafi kabisa unataka tukuunge mkono mpango wako wa kutaka kujaza ujazwe?? Haya; kama yupo atakayeona ni vyema unafanya, sawa. Ila; angalia sana ndg usije lia kilio cha mbwa kidomo juu. Utakapo shikishwa ukuta mbele za huyo huyo mke wa mtu, usijali kwani ulijua kuwa ndiko unakoelekezwa na mke wa mtu.
Waweza kujiona kuwa na miguvu na kivua kipana. Hayo kajiangalie chumbani mwako sio mbele ya mke wa mtu. Utakapofumaniwa, utajikuta mdogo ka piriton.