mkuu WET DREAMS gan inabakisha mbegu za kiume katika UKE ?Ana umri gani huyo binti?Miaka 15?
Wet dreams tu ndiyo zimempeleka kwa mganga?
Hizi imani za kijinga kijinga zishindwe katika jina la Science
mkuu wadumu ktk maombi araf wanazini tena dah !"Prayers fix everything". Dumuni katika maombi wewe na mwenzio, afu isije ikatokea tena huyo mwenzako akarudi kwa mganga. Giza na nuru havichangamani kamwe
"Prayers fix everything". Dumuni katika maombi wewe na mwenzio, afu isije ikatokea tena huyo mwenzako akarudi kwa mganga. Giza na nuru havichangamani kamwe
Amen dears, naamini amewasoma na kuwaelewa vizuri.mkuu wadumu ktk maombi araf wanazini tena dah !
hali kama hii ndo hufanya watu waamini nguvu za mungu hazina uwezo na uishia kusema nimezunguka ktk makanisa yote lkn sina nafuu wakat ttzo analifuga mwenyewe
naomba muelewe kuwa unapoenda kuombewa au kumuomba Mwenyezi mungu akuponye maradhi basi jua sii hiyo biblia uliyoshika mkononi au mchungaji mwenye UPAKO wa juu au yesu unayemtaja hapana
ni mapenzi yake mwenyewe mungu UAMUA anavyotaka yaan Atakalo MOLA hvyo ukitoka hapo ukakosa imani au ukaingia zambini tena mungu anakuona na jini mabaya huwapenda watu wachafu na wepesi KIROHO
ukweri ni kuwa TIBA YA KIROHO inahitajika uwe UMEAMINI na UJITAHIDI UWE MSAFI NAFSIN
Maombi huku wanazini hayatafanya kazi wafunge ndoa tu
umesema unamuandaa dkk 20 hadi 25 yawezekana hilo ndo tatizo,,kuna wanawake ambao ukiwaandaa muda mrefu wanatosheka kwa sababu wewe unaweza ukajua unamuandaa kumbe mwenzako ameshafika kileleni hta mara 3 hivyo ukija kuanza mechi yeye anakuwa ameshiba tayari,punguza muda wa maandalizi then uoneWakuu,
Nampenda sana huyu binti lakini nawaza kumuacha.Tatizo lake kubwa anahimili sita kwa sita dakika chache.Some time anachukua dakika 6 anadai katosheka wakati mie ndo mzuka umenipanda.
Pia kitu kingine ana uke mdogo kiasi kwamba nisipomuingilia mara kwa mara huwa unarudi nakuwa mdogo sana.Kipindi kingine hata kumuingilia nashindwa anaanza kulia kuwa anasikia maumivu.
Kumuandaa namuandaa vya kutosha takribani dakika 20 mpaka 25.Sasa sijui tatizo ni nini.Maana huwa ananionyesha ishara zote za kutaka niingie uwanjani lakini ndo hivo muda mwingine nashindwa kabisa.
Nimejaribu kuongea nae tujue tatizo ni nini, lakini kadai kuwa muda mwingine huwa akilala anaota anafanya sex na akijishika ukeni anakuta mbegu.
Anadai aliwahi kwenda kwa mganga wa kienyeji na baba yake wakadai huwa anaingiliwa na jini.Alipewa dawa na hali hiyo ikapotea lakini sasa imeanza kujirudia.
Kiukweli nimekaa nalo moyoni nimeshidwa.Nimeona bora nililete hapa mnishauri nifanyeje.
Nampenda sana huyu binti, lakini ndio hivo mawazo yakumuacha yananiijia.Sijui kiukweli nifanyaje wadau.
Muda nilio tangu tumeanza mahusiano ni miez 9 mpaka sasa.
Nimeandika story kwa ufupi tu.
Asanteni.
cc:Heaven sent,Mshana jr,The Boss,watu8,miss chagga,rubii,Mzizi mkavu,EMT,Elli.
Thenks Miss Jayumesema unamuandaa dkk 20 hadi 25 yawezekana hilo ndo tatizo,,kuna wanawake ambao ukiwaandaa muda mrefu wanatosheka kwa sababu wewe unaweza ukajua unamuandaa kumbe mwenzako ameshafika kileleni hta mara 3 hivyo ukija kuanza mechi yeye anakuwa ameshiba tayari,punguza muda wa maandalizi then uone
Asante sana dada rubii.Pole sana mkuu!!
Mkuu kuwa na papuchi kubwa au ndogo ndio umalaya?.Navipi kuwa na ume mdogo au mkubwa nayo nini?,ezma.Huyo ndyo mzuri lkn Kama umezoea wenye papuchi kubwa achana naye uende kwa malaya...
Mkuu usijali kumuo lazima nimuoe by any means,hizi nichangamoto tu katiika maisha.Kwanza unalala na binti wa watu bila ndoa halafu unataka upate raha.kijana acha dhambi,,,itafunga kabisa mpaka muoane ndo itakufungukia,pia jini linakucheki tu hivyo wajua shauri yako
.....???.Mganga anakula mzigo.