Nampenda huyu Mume

View attachment 521673

Jazzy is one of the luckiest women on planet kuwa na mume anayempenda kama alivyo.
Huyu mwanaume amependa kila "spare tire" mwilini mwake, kila stretch mark na jinsi alivyo bila kujali au kuona kama yeye anavutia zaidi ya mkewe.

"How could a man who was 'born fit' love someone like me! I don't have a flat stomach, I jiggle when I walk, hell if I run up the stairs to fast my body claps (lmao)!! But now I see I do have the 'perfect' body!! Every roll, every curve and every stretch mark is put on me just perfect to make both of us happy!!!..

Post ya Jazzy ni viral Insta, na amesifiwa sana kwa ujasiri. Sio wote tunaweza jianika hivyo na bathing suit, halafu mwanaume yuko Fit hivyo.
Wakina kaka mtupende na spare tires zetu kama mwenzenu, mbona nyie tunawapenda na vitambi vyenu??!!!

The guy is HAWT! tho..

View attachment 521679
Sometym history inasaidia ku make love

Huez jua huyo mdada amemsaidiaje huyo kk au wametoka wap

Kamuangalie etoo alikua mchezaji anaelipwa kuliko wote dunian kamuoa mwanamke wake wa tangu utoton coz ya walipotoka

Sema mtu kama ww ukiwa hujui ndo unabaki kujiuliza huyu dada kampa nn huyu kk??? Coz nyie mnapenda mkute kila kitu kishaji-settle mtu na body lake pesa zake tyr ndo mnachopenda
 
Mazuri kwa kubwenya hayo mabonge, unakuta mzee wa pori kanyanyuka usawa wa nyuzi zote kila ukiitafuta papuchi kama haionekani viiiile....!
 
View attachment 521673

Jazzy is one of the luckiest women on planet kuwa na mume anayempenda kama alivyo.
Huyu mwanaume amependa kila "spare tire" mwilini mwake, kila stretch mark na jinsi alivyo bila kujali au kuona kama yeye anavutia zaidi ya mkewe.

"How could a man who was 'born fit' love someone like me! I don't have a flat stomach, I jiggle when I walk, hell if I run up the stairs to fast my body claps (lmao)!! But now I see I do have the 'perfect' body!! Every roll, every curve and every stretch mark is put on me just perfect to make both of us happy!!!..

Post ya Jazzy ni viral Insta, na amesifiwa sana kwa ujasiri. Sio wote tunaweza jianika hivyo na bathing suit, halafu mwanaume yuko Fit hivyo.
Wakina kaka mtupende na spare tires zetu kama mwenzenu, mbona nyie tunawapenda na vitambi vyenu??!!!

The guy is HAWT! tho..

View attachment 521679

Ndio kina nani hao?,wamekula maharage ya wapi
 
Afu mcheki mwenyewe sasa full sita sita kifuani,kaenda hewani dakika,rangi ndo yenyewe eeh mjengo wa maana.. wengine sasa wanajifanya wachaguzi Mara oooh hivi Mara huyu vile ukiwaangali hata machoni hawajai...ngoja niishie hapa....hihihihiiiii
 
mkishazeek huko na hapo ukute janamke lilikua linagawa kama njugu sinza yote washakula huo uchi,wee kila usiku inapewa ma ofa ya bia na nyama choma bar na night clubs mkitoka hapo inaenda banjuliwa..worse kila mtu anakojolea huko.. ukishafika 35 ushachuja na mkitambi wako huko na makeups zinapwaya mamichirizi hadi usoni ndo une kunipenda mm HB iliekua unanikataaa nikiwa kapuku???
sili viporo vilivyopoa maaanina ...naanzaje kumvua chupi mbibi akati kuna mabinti wadogo tena wasafi chuchu saa 6
mbàaaaaaf
 
Afu mcheki mwenyewe sasa full sita sita kifuani,kaenda hewani dakika,rangi ndo yenyewe eeh mjengo wa maana.. wengine sasa wanajifanya wachaguzi Mara oooh hivi Mara huyu vile ukiwaangali hata machoni hawajai...ngoja niishie hapa....hihihihiiiii
ukiona hivyo jua ww si mzuri ndo maana hawakufwati
 
Back
Top Bottom