Namna ya kumchunguza mchumba wa kuoana naye

Mkuu mistari ni michache lakini imemaanisha yaani maneno ni mazima. nina uhakika itagusa wengi!! Mimi pia yamo yanaendana khasa na mchuchu angu kiasi some time nawaza kuachana nae.....
kama umenishtua flani....
yaani umegonga nipo...
mingine inapretend love, sad a ngoja muoane ulione lilivyo na rangi mingi!!
Kwa mbinu hizi kama ni pretender hachomoi
 
#Salut, i have been doing this almost all the time. Sio wengi they pass with flying colors exam kama hii.

Very few strong women around these days. Kama kuanzisha tatizo/argument na kuona kama she will be smart enough to find a solution to it, very few of women of this kind wapo. Atakimbilia towards one option and that's breaking up/having a break.

World is has more imbeciles than real women these days.
Kwa ufupi hakuna real love siku hizi.
Mbinu hizi nashauri zitumiwe na jinsia zote.
 
Hizo njia zako zote lazima ufeli kwenye hayo mahusiano....lazima ufeli. Khaaaaa,while all the trouble. Yaani nijitie asha ngedere for wat??Ndo hapo nijitie Asha Ngedere mara mwenzangu made John Cena....hapana kwakweli..m
Sasa ukiogopa hayo wakati wa uchumba yatakupata wakati ukiwa umeingia kwenye ndoa. Lipi lina afadhali?
 
Usicheze na akili ya mwanamke unaweza ukampa mtihani kuliko huo na akafaulu na mwengine pia lakini mwenye lake
hawachi,muombe mwenyezi mungu akupe mwenye kheir na wewe ,uchunguzi waachie Police...
Mkuu uzi wangu haujalenga wanaume kuwachunguza wanawake. Ni maalumu kwa jinsia zote. Hata wanawake wapaswa kutumia mbinu hizo. Maana nao wana haki ya kujua tabia za mwanaume.
 
Sawa !! Ila nadhani ni kupoteza mda. Wanawake wa sasahiv wana akili kweli na wanajua sana ku fake love. Mtu anaekupenda utamjua tu tangu mwanzo na wala haina haja kutafuta upendo kwenye mambinu yote hayo.
Jamani siyo wanawake tu hata wanaume wanajua sana kufake love. Mbinu hzo zitumiwe na jinsia zote
 
Mwanamke huwa anasifika sana kua huwezi kumchunguza na ukafanikiwa,lakini kiukweli hawa viumbe wanachunguzika kabisa na unaweza kumjua A to Z na mwisho wake ukaamua kama nikuendelea nae au kuachana nae.Jaribu pia kumchunguza kupitia simu,utamjua kwa kiwango kikubwa sana bila kusahau narafiki zake na watu wa mtaani kwao watakupa habari mbaya na nzuri za mpenzi wako.Usipuuzie meseji zinazokuja kwake kupitia simu yake au mitandao ya kijamii kama face book na wasap,maranyingi huwa na maana mfano mpenzi wako akaandikiwa meseji na mtu usiyemjua au hata ambaye humjui maneno kama;my wife,bby,mchuchu nk. ukiwafuatilia hao watu maranyingi huwa ni wapenzi wake wengune au waoenzi wake wa zamani wanajarubu kumtaka wakumbushie enzu.Kosea njia na sio kuoa au kuolewa utajuta hadi uingie kaburini.
 
Mkuu uzi wangu haujalenga wanaume kuwachunguza wanawake. Ni maalumu kwa jinsia zote. Hata wanawake wapaswa kutumia mbinu hizo. Maana nao wana haki ya kujua tabia za mwanaume.
Mkuu kumchunguza mwanamke au mwanamme ni sio kazi ndogo na pia hutoweza kumjua,binadamu anambinu za ajabu sana,tumbe sana mungu atupe wenye kheir na sie na zaidi ya hapo nikujitia stress zisizo za lazima..
 
Kiongozi hawa watu wanachunguzika,hadi wanaomba msamaha kabisa na kulia machozi pale unaopiwabaini,usikate tamaa kuwa hawachunguziki ukabeba mwanamke anayetaka ndoa tu halafu akiingia kwenye ndoa anaanza kuwapa mbinu za wanaume wake wa zamani KUMFANYA.Wakati unamchunguza jaribu nawewe kuwa msafi wa matendo ili Mungu ashirikiane nawewe katika harakati zako..
 
Kwny mapenzi omba tu Mungu akulindie penzi lako na awape ustahimilivu,huyo mwanamke unaemtest na vijaribio uchwara huwezi jua mara ngapi anafanya yaliyo heri kwa ajili yako
So far,I realized Mungu ndo kila kitu,omba akupe hekima kuelewa na kulinda penzi lenu
 
Safi
Mwanamke huwa anasifika sana kua huwezi kumchunguza na ukafanikiwa,lakini kiukweli hawa viumbe wanachunguzika kabisa na unaweza kumjua A to Z na mwisho wake ukaamua kama nikuendelea nae au kuachana nae.Jaribu pia kumchunguza kupitia simu,utamjua kwa kiwango kikubwa sana bila kusahau narafiki zake na watu wa mtaani kwao watakupa habari mbaya na nzuri za mpenzi wako.Usipuuzie meseji zinazokuja kwake kupitia simu yake au mitandao ya kijamii kama face book na wasap,maranyingi huwa na maana mfano mpenzi wako akaandikiwa meseji na mtu usiyemjua au hata ambaye humjui maneno kama;my wife,bby,mchuchu nk. ukiwafuatilia hao watu maranyingi huwa ni wapenzi wake wengune au waoenzi wake wa zamani wanajarubu kumtaka wakumbushie enzu.Kosea njia na sio kuoa au kuolewa utajuta hadi uingie kaburini.
Safi sana Mkuu. Watu wengi hupuuzia kwa kisingizio cha kumuomba mungu akupe make/mume mwema. Mungu mwenyewe anasaidia anayejiongeza.
 
Mbinu nyingine ni kupunguza appointment. Yaani uwe unaenda sehemu alipo bila kumwambia. Ukiona anakasirika sana kwa kitendo cha kutopanga appointment uwe na wasiwasi nae!!!
 
Hapo watakaofaulu ni Wavulana tu. Mwanaume atafeli tu.
Mwanaume halisi mambo yake ni halisi halisi tu, ukileta mambo ya kujifanyisha unatupwa kule! tunachukua bebi mwingine.
Haiwezekani nifanye mtihani darasani, nifanye mtihani wa maisha na nifanye mtihani wa mapenzi.
 
Back
Top Bottom