A
Anonymous
Guest
Habari mimi ni Mdau wa Jamii Forums kutoka Arusha.
Naomba utusaidie kupaza sauti dhidi ya watu wanaochafua mazingira na mabango haya kwan wao baada ya kumaliza mikutano yao huwa hawana utaratibu wa kurudi kusafisha maeneo wanayoyachafua.
Wabandikaji wa mabango haya wamekuwa wakiyabandika bila ustaarabu wowote ule..
Mamlaka husika ziangalie utaratibu wa kudhibiti uchafuzi huu kwani Jiji letu ni jiji la kitalii halipendezi na huu uchafuzi unaofanywa.
Ahsante.