Nakutaarifu Mrisho Mpoto kwamba CCM haijawahi kuwa na rafiki

Mrisho Mpoto ni kati ya wasanii wa Tanzania waliotumika , kujituma , ikiwa ni pamoja na kutumikishwa na CCM kwa kiwango ambacho hakimithiliki

Nimemsikia na kumuona akilalamika kupotea kwa ROMA MKATOLIKI , msanii namba 1 Hip hop Tanzania , Nikashangaa!! Hivi unawezaje kukitumikia chama ambacho hukifahamu kwa kiasi hicho ?

Ni hivi , CCM ni kikundi ambacho kiko tayari kufanya chochote , kununua , kutisha , kutesa , kukamata mtu yeyote kwa kuwatumia watu wao ili kuhakikisha inasalia madarakani , mtu yeyote anayeonekana kupinga mikakati yao kwa namna yoyote atakuwa matatani .

Kwa kitendo chako cha kujitokeza hadharani kujaribu kumtafuta Roma ni sawa na kusaliti msimamo wa mabosi wako , Muulize Nape.

Na wengine wanasema vivohivyo kwa cdm so hakuna chama cha siasa cha mitume na manabii wote wana agenda na malengo yao.FULL STOP
 
Pia sijapenda Erythrocyte alivyo-reason!

Unaweza kuwa Mwana-CCM na usiwe na hizo tabia alizozitaja hapo juu.CCM ni chama na hakina kosa lolote,Makosa yanafanywa na watu na siyo Chama.

Na pia kusema mtu anatumika "Mrisho Mpoto" una maana gani/ipi?.Umetumia kipimo gani?.Unakumbuka kuna wakati CUF iliitwa CCM B,Inatumika miaka ya 1990's na mwisho wa siku tukaja fahamu kuwa haikuwa ikitumika?.Unakumbuka pia kuwa kuna wakati walisema "Zitto Kabwe"anatumika na CCM kumbe siyo?.

Siupendi sana huu msamiatii "Kutumika" pasipo uthibitisho wa kushikika.
Hivi chama huwa ni nini?
 
Tofautisha matendo ya mtu au watu, na CCM.
Wewe una uhakika upi kuwa ROMA katekwa na CCM?

Una mkumbuka Chacha Wangwe?
Alipotezwa na CHADEMA au vipi kwa kumbukumbu zako.
Usijiapize uwongo, ni dhambi!
Mimi niliwahi kupenya kwenye vikao vya chama ngazi ya wilaya fulani, na maagizo yalikuwa uchaguzi si lelemama ikibidi kuua ua mradi chama kishinde !!. Agizo hilo lilitufanya wengi tujiulize mara mbili tatu . Na kwa wale wenye uoga kidogo wa Mungu walikaa pembeni .

Angalia chuki watu walizonazo hata bungeni na ktk halmashauri zetu, na wale ni waheshimiwa !! Sembuse kwetu huku
 
Mrisho Mpoto ni kati ya wasanii wa Tanzania waliotumika , kujituma , ikiwa ni pamoja na kutumikishwa na CCM kwa kiwango ambacho hakimithiliki

Nimemsikia na kumuona akilalamika kupotea kwa ROMA MKATOLIKI , msanii namba 1 Hip hop Tanzania , Nikashangaa!! Hivi unawezaje kukitumikia chama ambacho hukifahamu kwa kiasi hicho ?

Ni hivi , CCM ni kikundi ambacho kiko tayari kufanya chochote , kununua , kutisha , kutesa , kukamata mtu yeyote kwa kuwatumia watu wao ili kuhakikisha inasalia madarakani , mtu yeyote anayeonekana kupinga mikakati yao kwa namna yoyote atakuwa matatani .

Kwa kitendo chako cha kujitokeza hadharani kujaribu kumtafuta Roma ni sawa na kusaliti msimamo wa mabosi wako , Muulize Nape.
Hana tofauti na salama condom
 
Tofautisha matendo ya mtu au watu, na CCM.
Wewe una uhakika upi kuwa ROMA katekwa na CCM?

Una mkumbuka Chacha Wangwe?
Alipotezwa na CHADEMA au vipi kwa kumbukumbu zako.
Usijiapize uwongo, ni dhambi!
Bashite kasema watamuachia kabla ya jumapili unapata picha gani hapa
 
Mpoto toka aanze kujiambatanisha na mashoga ya dar amepoteza uanaume wa kusema nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe, bure kabisa.
 
Back
Top Bottom