Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,769
- 239,439
Mrisho Mpoto ni kati ya wasanii wa Tanzania waliotumika , kujituma , ikiwa ni pamoja na kutumikishwa na ccm kwa kiwango ambacho hakimithiliki
Nimemsikia na kumuona akilalamika kupotea kwa ROMA MKATOLIKI , msanii namba 1 Hip hop Tanzania , Nikashangaa!! Hivi unawezaje kukitumikia chama ambacho hukifahamu kwa kiasi hicho ?
Ni hivi , ccm ni kikundi ambacho kiko tayari kufanya chochote , kununua , kutisha , kutesa , kukamata mtu yeyote kwa kuwatumia watu wao ili kuhakikisha inasalia madarakani , mtu yeyote anayeonekana kupinga mikakati yao kwa namna yoyote atakuwa matatani .
Kwa kitendo chako cha kujitokeza hadharani kujaribu kumtafuta ROMA ni sawa na kusaliti msimamo wa mabosi wako , Muulize Nape .
Tofautisha matendo ya mtu au watu, na CCM.Mrisho Mpoto ni kati ya wasanii wa Tanzania waliotumika , kujituma , ikiwa ni pamoja na kutumikishwa na CCM kwa kiwango ambacho hakimithiliki
Nimemsikia na kumuona akilalamika kupotea kwa ROMA MKATOLIKI , msanii namba 1 Hip hop Tanzania , Nikashangaa!! Hivi unawezaje kukitumikia chama ambacho hukifahamu kwa kiasi hicho ?
Ni hivi , CCM ni kikundi ambacho kiko tayari kufanya chochote , kununua , kutisha , kutesa , kukamata mtu yeyote kwa kuwatumia watu wao ili kuhakikisha inasalia madarakani , mtu yeyote anayeonekana kupinga mikakati yao kwa namna yoyote atakuwa matatani .
Kwa kitendo chako cha kujitokeza hadharani kujaribu kumtafuta Roma ni sawa na kusaliti msimamo wa mabosi wako , Muulize Nape.
Aliyemtolea Nape bastola siyo polisi - MwiguluTofautisha natendi ya mtu au watu na CCM.
Wewe una uhakika upi kuwa ROMA katekwa na CCM?
Usijiapize uwongo, ni dhambi!
Nakala imfikie Banana Zorro popote alipo .Umesema?
Alikuwana kitambulisho cha Lumumba?Aliyemtolea Nape bastola siyo polisi - Mwigulu
Sawa mkuu maana mi napenda sana msemo unao sema nyani haoni.........Nakala imfikie Banana Zorro popote alipo .
Baada ya unyama ule Kamuhanda alipandishwa cheo .Sitasahau bomu la tumboni mwa Mwangosi mbele ya kamanda muhanga wa Iringa sasa hivi wamemficha baada ya kusimamia ugaidi wa ccm !!
Jiongeze kidogo basi .Alikuwana kitambulisho cha Lumumba?