Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 20,674
- 38,156
Hii mada mbona haihusiani?Hakuna mwanasiasa mjanja na mwenye akili kuwahi kutokea kama rais Samia. Kawadhibiti wapinzani na critics wote bila hata kutumia nguvu. Easy going woman hana presha anacheza tu na saikolojia.
Urais siyo kufokafoka na kuruka rukaruka hapa na pale na kukariri data mwishowe betri inazima moyoni kwa jazba.
Nchi ipo stable hamna vitisho uchwara tena. Ukitii nakufusta sheria za nchi sasa hivi hakuna shida.
Thanks jah na bee giftedhands