chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
kweli yalikuwa hivyo, hawa wanabisha tu sababu walikuwa hawayaelewi pengineNakumbuka ya treni na masaa 24 ndio yalikua yanaletwa, ile masaa yanaandikwa 1900 au 2145. Mara nyingi ilikua kutafuta muda wa treni au basi kufika mahali na namna ya kuziandika hizo saa. Hesabu zingine zilikua za ankara na zile za kutafuta gharama ya kutuma maneno sijui kwa fax? (sina uhakika) unapewa gharama ya maneno kumi ya mwanzo na kila neno linalozidi kusha utafute gharama za kutuma maneno uliyopewa.
I'm not seeking forgiveness