Nakukumbusha hatua tatu muhimu ili kukifikia kifo

Hilo ni lingine malengo yake Hayajatimia ama LA hakueleweka

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Kifo hakifai na kinaogopeka na watu wengi kwa sababu hiyo ni adhabu aliyopewa na Mungu Adam pamoja na kizazi chake (mimi na wewe)!
Asa adhabu si kitu cha kuona ni kawaida bali ni cha kuogopwa, kujutia, kutubu na hatimaye kujirudi!

Kama Yesu christu alitamani "kikombe kile kimuepuke" ila tu kwa sababu ya mapenzi yake BABA akakikubali ije iwe binadamu dhaifu kama mimi?

Acha kabisa, kifo hakizoeleki!
 
Aaamen ni kweli kabisa hakizoeleki lakini kwa masikitiko makubwa sana tunacho daily
Kuna wakati huwa natamani mambo yangekuwa tofauti pale Eden
 
hatua za mwisho mtu anapokata Roho hua zinaonyesha huyo mtu alikua wa aina gani,either mwovu au mwema.na inaonyesha huyo mtu ataenda wapi, either motoni au mbinguni. kazi kwenu kuchagua uzima wa milele au mauti
Tusidanganyane ndugu KIFO kiache kama kilivyo tu. Unataka kuniambia wanaokufa wamelala tena Kwa utulivu hawana dhambi na mwisho wao ni peponi!
Je vipi wale waliokufa MV BUKOBA utaniambia wote walikuwa na dhambi kwakuwa vifo vyao vilikuwa vya mateso na kutapatapa?.
Mimi Kwa ufahamu wangu ni kwamba KIFO ni KIFO tu full stop.
 
Unazungumzia kifasihi? Anyway, tuambie what are you up to?
 
Tulikuja bila kitu, na tutaondoka bila kitu. Tuishi kwa amani na watu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…