Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

Hebu niitie Latoya atupe mlisho-nyuma!
Hahaha
Inshort nilifanya kama ulivyoshauri sema ikawa ugomvi hauishi,nilimzuia kuja kwangu na hata kumwona mwanangu.

Then nikatafuta sehemu akawa once in a while akijisikia anamwona mtoto.
Tatizo mtoto amekuwa sasa,mchangamfu ana afya bora na akili sana,so anasisitiza nimpe amlee.
Ila kiuhalisia bado ni mdogo kwani hata clinic huwa nampeleka,sema alitembea na kuchangamka mapema.

Ila narudia ushauri wako kutomkaribisha kwangu wala kumwona tena mwanangu,nadhani amesahau terms tulizokubaliana.

And trust me since nimpate mwanangu hajawahi nigusa tena sexually,nadhani ni jambo lingine linalomwangaisha.ila mie sirudiagi matapishi kwani ni kinyaa.
Nilitaka fanya mambo kizungu naona jamaa anataka leta mazoea,mie haijalishi tumezaa,aliniacha and that's.ni story ambayo haiwezi jirudia kamwe nilishajiapiza.alishalalamika hadi kwa rafiki zangu kuwa mie nina msimamo sana,na ili mwanamke uheshimiwe muhimu kuwa na msimamo.
 
Sioni tatizo lolote hapo mlizini pamoja mpaka mtoto ,inawezekana mkazini tena ila nyie ni watu wazima msimuonyeshe mtoto kwamba kuna ugomvi kati yenu.

Ongeeni tena mtoto akiwa hasikii maongezi yenu .

Mkirudiana ni heri kwa malezi mazuri ya mtoto wenu
 
Sioni tatizo lolote hapo mlizini pamoja mpaka mtoto ,inawezekana mkazini tena ila nyie ni watu wazima msimuonyeshe mtoto kwamba kuna ugomvi kati yenu.

Ongeeni tena mtoto akiwa hasikii maongezi yenu .

Mkirudiana ni heri kwa malezi mazuri ya mtoto wenu
Hiyo ya ustaarabu kwa men wa kibongo haipo,ukiwapa chance ya kumwona mtoto wanataka kuendelea kukutumia.nimejaribu imeshindikana.wengine tukiachwa huwa ndo ntolee hairudigi.na ukiwachekea utaishia kuzeeka ukizalishwa na kutelekezwa
 
What!????? are you for real??? DuppyConqueror ...ni kutokana na kutembelewa na mzazi mwenzie!??
Mwongo huyo,usimsikilize.jamaa hajawahi ujua mwili wangu since then,Mungu wa mbinguni ni shahidi.ushauri wako ulinisaidia sana.Thanks.niliteleza nikaamka nikajikung"uta vumbi na kusonga mbele.sijawahi rudi misri trust me.
 
Back
Top Bottom