Nakodisha shamba wilayani Kibiti, mkoa wa Pwani. Heka moja ni Tsh. 100,000 kwa msimu

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,571
Habari wadau wa JF,

Nakodisha shamba maeneo ya Kibiti mkoa wa Pwani huko kwa anayehaji kukodi kwa kilimo aniPM nitampeleka hapo shambani hapaone

Maeneo yale unaweza kulima Ufuta, au chochote kutegemeana na eneo husika nk. Karibu sana Kibiti

Nakodisha shamba kwa heka sh 50,000 kwa msimu wa kilimo chako utalima mpaka na kuvuna ukitaka kuendelea tena kulima utakodishwa tena karibuni sana wakati ndoo hu, tumia fursa kwenye kilimo kwani kilimo kinalipa.

Karibuni

mamods futeni pale juu wekeni nakodisha shamba kwa sh 50,000/ siliuzi pls
 
Habari wadau wa jf

Nakodisha shamba maeneo ya Kibiti mkoa wa Pwani huko kwa anayehaji kukodi kwa kilimo aniPM nitampeleka hapo shambani hapaone

Maeneo yale unaweza kulima Ufuta, korosho, michikichi, nazi, nk
karibu sana kibiti

nakodisha shamba kwa heka sh 100,000 kwa msimu wa kilimo chako utalima mpaka na kuvuna ukitaka kuendelea tena kulima utakodishwa tena karibuni sana wakati ndoo hu, tumia fursa kwenye kilimo kwani kilimo kinalipa

karibuni
100,000 kwa heka unauza au unakodisha?
 
umbali tola selous game reserve upoje, tusigombane na wanyama wanaojua kuharibu mashamba.
 
Nazi.. Korosho... Michikichi... Si afadhali utangaze kuuza tu? Atakodisha misimu mingapi hadi avune?
hayo mazao nimetaja tu kuwa yanalimwa maeneo hayo ila unaweza kulima unachoweza mkuu si kama nilivyoweka hapo

nimeweka hivyo watu wajue eneo la kibiti mazao yao wanayolima ni hayo ila waweza kulima chochote hata mbogamboga mkuu sijui umenielewa
 
Habari wadau wa jf

Nakodisha shamba maeneo ya Kibiti mkoa wa Pwani huko kwa anayehaji kukodi kwa kilimo aniPM nitampeleka hapo shambani hapaone

Maeneo yale unaweza kulima Ufuta, au zao lolote linalotegemeana na eneo hilo husika
karibu sana kibiti

nakodisha shamba kwa heka sh 100,000 kwa msimu wa kilimo chako utalima mpaka na kuvuna ukitaka kuendelea tena kulima utakodishwa tena karibuni sana wakati ndoo hu, tumia fursa kwenye kilimo kwani kilimo kinalipa

karibuni

100,000 kwa heka unauza au unakodisha?
nakodisha ndugu siuzi shamba nakodisha tu
 
Mara mia ungetaja kwa mwaka. Nani aingie gharama za kuandaa shamba,af msimu ukiisha aondolewe! Hiyo hasara ni kubwa.
Ungesema laki kwa mwaka wa kwanza. Badae,laki kila msimu. Labda kama ni shamba lililokuwa linalimwa,hapo ntakuelewa. Vinginevyo,hapana.
 
shamba lilikuwa linalimwa mkuu sasa yule aliyekodi kashamaliza kulima alichohitaji ndo maana nakodisha mkuu
 
Mara mia ungetaja kwa mwaka. Nani aingie gharama za kuandaa shamba,af msimu ukiisha aondolewe! Hiyo hasara ni kubwa.
Ungesema laki kwa mwaka wa kwanza. Badae,laki kila msimu. Labda kama ni shamba lililokuwa linalimwa,hapo ntakuelewa. Vinginevyo,hapana.
UKIMALIZA MSIMU WA KWANZA NA UNATAKA KUENDELEA UNARUHUSIWA TU NI PESA YAKO MKUU ONDOA SHAKA
 
Kibiti ni mali pana fursa nyingi sana, sema wewe hujataja una hekari ngapi na je zimeshasafishwa mkodishaji kazi yake ni kulima tu au ila kwa bei hiyo nibora mtu anunue kabisa hupati labda awe muhindi wa mafia
 
aisee haya ila karibu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom