Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

No we're all ugly, poor, uneducated peasants.

Life is very short to argue and fight. Count your blessings, value your friends and move on with your head held high and a smile for everyone aiseeee....
 
Life is very short to argue and fight. Count your blessings, value your friends and move on with your head held high and a smile for everyone aiseeee....
Nakupendaga, upo smart I wish hiyo boy kwenye jina lako ingekua man teh
 
Kama wewe ni mwanaume wa kweli huwez kuwa offended na maneno ya ile thread ya kwanza..Mbona me naona ni ya kawaida sana na ukizingatia haya mambo yanatokea kweli katka jamii zetu uko mitaani!!...mimi binafsi ajaona ata sabab ya kuomba msamaa mtoa mada...tatizo jf mamluki wengi.
 
Nakupendaga, upo smart I wish hiyo boy kwenye jina lako ingekua man teh

Tumekua na mawazo ya pamoja aseee...
Nishatuma sana barua ya mficho kwa mkuu asieonekana niki hitaji kubadilisha I'd, kutoka Ushiboy nakua Ushimen.
 
Last edited:
Hi guys,

Happy new year,

I hope all of u r ok.

Nipo hapa ku apologise kwa maneno ambayo hamkupendezwa nayo ktk mrejesho wangu, I didn't mean to offend anyone, neshwa na wording ktk maandishi yangu so I do apologise.

Hata hivyo nimepata kujifunza kitu kutoka kwenu, kuwa kumbe raia wengi wana hali mbaya kiuchumi na kimaisha, why? Sababu sikutarajia kabisa watu wawe offended kwa kusikia neno gari, kenya airways, kufunga hesabu za kampuni etc, nilipovitaja niliamini ni vitu vya kawaida sana kwa wengi wetu, sikuona sababu ya mimi kuonekana najivuna kwa kuvitaja, unapokutana na rafiki yako ktk maongezi akataja jana alikula kuku kwake then wewe ukakasirika kusikia neno kuku, inaweza kuleta picha kuwa kuku kwako ni jambo kubwa So nikajiuliza swali nisingetaja ndege nikataja train/basi nisingeonekana najivuna, hali ya raia ni mbaya kwa kweli

Kuna mwana JF mmoja alidanganya wenzie humu kuwa alinifuata pm kwa kunitega na kuwa nilimueleza kwamba mimi ni Mhaya, kwamba nakaa Gongo la mboto, na kwamba nauza duka Kariakoo, hii imedhihirisha kwamba nilichokua naongea kwenye uzi ni cha kweli, wanaume wa aina hii unaweza kuwaitaje?

Ndio wasiokua na kazi kufikia hatua kutunga uongo ili ufurahishe watu, ni wazi huyo maisha ndio yamemchanganya kufikia hatua hiyo, ni wazi alitaka kuonekana hero, sasa kwa nn nguvu hizo za kudanganya usiwekeze kwenye kazi kama unayo, hatuwezi kujenga taifa hivi.Hakuna hata mmoja alienifuata pm niliemjibu chochote niliziangalia tu na kuachana nazo.

Mwisho;
Yeyote aliekwazika na maneno ya uzi ule, ikiwemo kutamka maneno ya classes za maisha na kadhalika basi that person should find a place in his/her heart to forgive me, however msimamo wangu kuhusu wanaume kuomba namba ovyo unabaki pale pale, nguvu hizo zitumieni kufanya kazi

2014 niliombwa na idara ya HR kum recommend staff mmoja wa kiume ambae alikua anamaliza probation, ili awe confirmed, niliwaandikia barua kuwa simuhitaji kabisa, ame perform below standard, hii ilitokana na jamaa huyo kushinda akitumia simu kuliko kufanya kazi, akifika asubuhi anaanza kupiga simu za wasichana wote aliowaomba namba jana yake, na wakati anaongea wenzie wote wanamsikia akiwemo supervisor wake, tena akijisifu kabisa kuwa jana kapata namba tano za wanawake aliambiwa na HR wakuu wako wamekukataa so we are sorry sikumuonea maana kazi zake zote tunazompa ni za kusukumana kwanza

Mimi si Mhaya kama mlivyodai, mama yangu ni mtusi na baba mrangi, jukwa nalolipenda zaidi ni lile la International, habari kama za Russia, Nato, Usa, military science etc, na nime coment huko sana.

Am not arrogant at all, nilivyozungumza ni vitu vya kawaida in my life, kwenda oversees kikazi nakwenda every time and then, kumiliki gari wote mnajua sasa hivi hapa dar ni basic need na sio luxury tena, na wengi mnamiliki, kufanya kwenye kampuni za maana huenda wengi tu mkawa mnafanya sasa sioni kwa nn mtu ukasirike ukivisikia hivi unless uwe kwenye opposite direction ya hivi nilivyotaja.

Tufanye kazi kwa bidii
Nawatakia heri ya mwaka mpya

Mercy

Wanawake wa aina yako ndio mnasababisha wanaume tuendelee kuwa mabachela waandamizi,maana kuliko kuoa wa sampuli yako bora kujioa wenyewe...by the way nadhani uko insane,si ajabu sura mbuzi na unatafuta emotional healing!
 
Back
Top Bottom