Najilipua Tena Kilimo cha tikiti

Kwangu sio rahisi kuharibu mtaji, ninao uzoefu, ni shughuli ambazo nimekuwa nikifanya kila mara,
vifaa vyote vipo na shamba kubwa lenye rutuba.

Karibu...
.Hongera sana kwa kazi hii,naruhusiwa kukutumia PM?
 
Asante sana,basi naomba PM ili nipate namba ya simu, tatizo kuu kwangu ni usimamizi wa uaminifu aiseeee maana mitaji mpaka tujichange sasa ikiharibika inauma sana
Nalima tikiti huu mwaka wa 3 sasa na mafanikio nayaona kifup linahitaji uangalizi kama mtoto mdogo pamoja na huduma za madawa ya kuulia wadudu waharibifu so lazima umpate mtu ambaye yuko tayar kufanya kazi asiwe zushi
 
Nenda kwa mganga wa jadi akupe dawa ukamwage shambani,anaishi pale magogoni kwenye nyumba nyeupe
 
Ok kumbe ulifail kwenye usimamizi. Awamu hii umejiandaaje na umepanga kulima wapi?

Nakukaribisha Moro, huku unakuja na mtaji na mbegu zako then everything will be monitorred and supervisored by me, you will be required to regularly visiting the project.
Warmly welcome...
Mkuu takutafuta mie nipo moro na mpango wakufanya hii shuhuri..
 
Mkuu nakutakia mafanikio katika jitihada zako za kutafuta mkate wa kila siku, allah akuondolee mkosi mara hii na uvune yakupe na faida ya kutosha, sisi tupo huku mjini tunayasubiri mkuu
 
Wakuu habari, baada ya mpigo wa kwanza ulionipa hasara takriban eka 2 zote za tikiti najipanga nirudi tena shambani,kwaajili ya tikiti
Naomba mwenye mawazo au ushauri kwa wazoefu wa kilimo. Karibuni
Naomba pia nipate msaada wa maeneo ambayo ni productive.
Hongera sana mkuu, Mungu akutangulie, wadudu walao mazao walaaniwe.
 
Ok kumbe ulifail kwenye usimamizi. Awamu hii umejiandaaje na umepanga kulima wapi?

Nakukaribisha Moro, huku unakuja na mtaji na mbegu zako then everything will be monitorred and supervisored by me, you will be required to regularly visiting the project.
Warmly welcome...
Kisima umepotea jukwaani nilikua na kutafuta sana kwenye Ile ishu ya maharage ya njano
 
Kisima umepotea jukwaani nilikua na kutafuta sana kwenye Ile ishu ya maharage ya njano
Nipo mkuu. Niulize chochote kesho nitajibu. Ila itakuwa vyema kama ni maharage upost kwenye ule uzi husika wadau wote tujumuike.

Karibu!
 
hakikisha una maji ya uhakika,
hakikisha una uwezo wa ku-spray dawa mara kwa mara kwa sababu matikitiki yanashambuliwa sana na wadudu
hakikisha una uwezo wa kuweka mbolea kupandia na kukuzia,
hakikisha una uwezo wa parizi
 
Mi nataka sehem ya kulima vitunguuu jaman kabla ya mwez wa tano katikati
 
Back
Top Bottom