Naisha na single mother ila sasa mwanae ni mtundu balaa, nikimuonya mama yake anakuja juu

Kuna wakati umasikini unatufanya kuwa na Roho ya ajabu Sana.
Yaani uachane na mkeo kisa mtoto....tena anayejifunza kutembea?

Anyway hata ukimuacha huyo mtoto yeye ataendelea kukua na Mungu atasimama upande wake. Tulio wengi ni mazao ya usingo Maza lakini we are people now . Wapende watoto usiwabague.
 
Children is learning. Be patience and loved hers mom true love.
Yaa upo ni kweli yupo kujifunza sasa ndo kumwachia vitu mtoto kwa makusudi avunje mpaka akifika chekechea ndani sikutakuwa hakuna vitu tena
 
Kuna wakati umasikini unatufanya kuwa na Roho ya ajabu Sana.
Yaani uachane na mkeo kisa mtoto....tena anayejifunza kutembea?

Anyway hata ukimuacha huyo mtoto yeye ataendelea kukua na Mungu atasimama upande wake. Tulio wengi ni mazao ya usingo Maza lakini we are people now . Wapende watoto usiwabague.
Siyo umasikini kwaiyo kama upo na hela unaweza mwachia cm yako mtoto achezee aipige chini kama anapiga jiwe ili uje kununua cm mpya au siyo
 
Hata angekuwa mtoto wako bado angefanya hivyohivyo sa sijui ungepiga chini na mamake pia...vitu vingine ni kujifunza tu na kuendana navyo mtoto anavyozidi kukua kuna harakati zinapungua hutasikia tena kuvunja vitu sababu anakuwa anapata ufahamu wa hiki ni kibaya na hiki ni kizuri.
 
Siku hizi mnalalamikia hata visivyo na changamoto. Nunueni vya plastic
Vyombo vya plastics vipo mbona mkuu ila yeye anampa kwenye vyombo vya udongo alafu akivunja hataki uongee ukiongea anasema humpendi mtoto kisa siyo mwanao
 
Back
Top Bottom