Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,248
- 7,022
Any official document ina quote Times towers with 38 floors.... Lakini for the sake of argument, Hakuna La 35 Nairobi....... pia hakuna la 40 Dar......Haya fanya ni fl 35
leteni sasa lenye Fl 35 Nairobi lipo wapi?
Anyway hii thread sijui inaenda wapi wakati tunajua conclution itaishia wapi, Nairobi iko na 25 buildings with more that 20 floors wakati Dar iko na 13