Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,297
Sidhani kama serikali ya UK imetumia pesa za walipa kodi ku-finance hizi Olympics. Kawaida miji ndiyo huandaa. Involvement ya serikali sina hakika huwa ni kwa kiasi gani. Labda kwenye kuhakikisha ulinzi tu.
Licha ya kuitwa London Olympics, tukumbuke kuwa baadhi ya mechi zimechezwa nje ya jiji la London, kwa mfano Manchester. Sasa hapa sijui utaratibu gani ulitumika pia