BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 193
hahahahahahKama wanaona kufanya kazi ni kazi basi waache kazi waone ilivyo kazi kukaa bila kazi
hahahahahahKama wanaona kufanya kazi ni kazi basi waache kazi waone ilivyo kazi kukaa bila kazi
Mbona walim hawana hiyo chai ya saa 4?wataish tuMwaka juzi nilikua na kazi fulani hivi ambayo ilinipasa kuzungukia vituo vingi sana vya afya ambapo kila Wilaya nilitembelea vituo vya afya vitatu, ilikua mambo ya huduma za UKIMWI lakini nilishangazwa na observation mojawapo kuwa eti kuna watu wana wategea wenzao kufanya kazi kisa wao kial semina na kila posho za ukimwi wanapewa wao tu, kwahio akija mgonjwa hawawezi kumpa huduam hadi wahusika wawepo, nikashangaa sana hivi posho ya shi.60,000 inawezaje kujenga chuki kiasi hiki?
Pale NIT ambapo wameondolewa hadi chai ya saa nne sijui wataishije sasa hivi, wataishi zaidi ya mashetani nadhani. Walimu hawana pesa, Wafanyakazi (supporting staff) hawana pesa, Wanafunzi hawana hata senti wanaishia kujiuza. Dah
Ewe na kazi yenyewe hupat utabaki na bahasha zako...unajua ugumu wa kazi?? Unasema posho zfutwe..??Waache kazi. Who cares. Kama kusoma wengi tumesoma tena vizuri, tuko mitaani hatuna kazi. Watupishe. Unapata mshahara. Allowance/posho za nini? Serikali ifute kabisa mambo ya posho. Ni wizi mtupu.
Achana nao hao bhana hawajitambui wamekaririshwa tu.lini walikuwa na hizo supporting allowance mzee walimu kila siku wanalia hawana allowance yao ni
kwani wamewahi kuwa na morali hawa watumishi zaid ya wizi mtupu
Umesoma? sasa mbona huna kazi? sema umesoma na unajua kusoma na kuandika BASI! Wasomi woote waliosoma wana kazi. mjinga kweli wewe!Waache kazi. Who cares. Kama kusoma wengi tumesoma tena vizuri, tuko mitaani hatuna kazi. Watupishe. Unapata mshahara. Allowance/posho za nini? Serikali ifute kabisa mambo ya posho. Ni wizi mtupu.
Kuna TUCTA kwani? hao si walaji wa michango ya staff wenzao hawana lolote wala msaada kwa staff kabisa! ni kwa kuwa ni lazima kujinga ingekuwa hiari nisingejiunga kabisa na HUU UPUUZIMkuu hata sisi TUCTA tunaogopa kutumbuliwa na nani kwa mfano?
Wafanyakazi wa serekalini hawajawai kuwa na morali hata siku moja hiyo morali inayopotea inatokea wapiPamoja namshahara wanaopata kutiwa moyo jambo la muhimu kumbuka wanatofautiana mazingira tunayofanyia kazi haswa kwa wale wavijijini mazingira yao nimagumu
Waache kazi. Who cares. Kama kusoma wengi tumesoma tena vizuri, tuko mitaani hatuna kazi. Watupishe. Unapata mshahara. Allowance/posho za nini? Serikali ifute kabisa mambo ya posho. Ni wizi mtupu.
Wamefuta posho zisizokua na tija sio zoteJana waziri mkuu akiwa ziarani kigamboni kaimu mkuu wa mkoa Ali Hapy alimchomekea kuhusu posho watumish inayotumika vikao kwa kununu a vitafunwa na chai na kuamuru zifutwe nimeskia leo magazetini na posho za mazingira magumu zimefutwa binafs naona kama huku nikupunguza morali kwa wafanyakazi haswa walioko ktk mazingira magumu
Hapa bado za kirumi tu.Tunasomeshwa namba kwa nguvu zote
Umesoma? sasa mbona huna kazi? sema umesoma na unajua kusoma na kuandika BASI! Wasomi woote waliosoma wana kazi. mjinga kweli wewe!
Siyo lazima mkuu.Kuna TUCTA kwani? hao si walaji wa michango ya staff wenzao hawana lolote wala msaada kwa staff kabisa! ni kwa kuwa ni lazima kujinga ingekuwa hiari nisingejiunga kabisa na HUU UPUUZI
Waache kazi. Who cares. Kama kusoma wengi tumesoma tena vizuri, tuko mitaani hatuna kazi. Watupishe. Unapata mshahara. Allowance/posho za nini? Serikali ifute kabisa mambo ya posho. Ni wizi mtupu.
Mkuu yaan huu ujinga unafanyika chin ya hii serikal usipoangalia unaweza ukaua mtu bora ufanye mambo yako.Achana nao hao bhana hawajitambui wamekaririshwa tu.
Mi ni mwl wa sekondari, tena nina morali kweli ila kwa huu ujinga wa kutopandishwa madaraja na mishahara( haki yangu kisheria) inaanza kunivunja moyo. Ninajipanga kuachana na ajira nijiajiri.
uSisi wakulima tunamolari tu kama vpi piga kazi chini njoo shambani