Joyce Mukya mbunge wa viti maalumu aliyezaa na Mbowe mchujo wake ulifanyika kuanzia wilaya,mkoa hadi Taifa? Halima Mdee ajibu hili
Hivi hawa wabunge viti maaalum wana kazi gani bungeni? Kuwaweka hawa ni kufuja fedha za walipa kodi Magufuli futa hivi viti maalum na punguza kodi PAYE za wafanyakazi kwani ndio wanaoteseka!!!Bunge la mapwagu na pwaguzi.
Ni vizuri hao wabunge viti maalum wa UKAWA kila mmoja ajieleze mbele ya vyombo vya habari alipatikanaje
Huu ni udhalilishaji....mkubwa aliyetoa maneno hayo ....alaniwe, kwa watu amboa wako sensitive kwa maswala ya gender ,ni lazi wapige kelele na kulaani......
Mkuu hili la viti maalum sio kwa UKAWA tu, hili suala ni tatizo hata kwa CCM pia, ni wakati sasa wa kufuta hivi viti maalum maana havina tija zaidi ya kujaza bunge na kuendeleza ujinga ujinga tu, kama kila jimbo lina mwakilishi wake aliyechaguliwa kwa kura za wananchi sasa hawa wanini?? FUTA VITI MAALUM HAVINA TIJA.
Halima Mdee kwenye hii Clip kasema utaratibu wa kupata mbunge viti maalum kikatiba mtu huanza kuchujwa wilayani,baadaye mkoani na hatimaye Taifa.Yeye ndie atoe jibu Kwa JOYCE Mukya HILO lilifanyika? Huo ni mfano mmoja tu!!!!!!! Hao wabunge wote walipitia hizo hatua???????????????????Kamuulize Joyce na siyo Mdee
Lakini bado Mtoto wa Celine Kombani aliyepewa Jimbo sawa na viti maalum hakustahili na alitakiwa kuonywa kwa nguvu zote.Na hasa ukizingatia Naibu Spika ni Mwanamke na yeye ni Mteuliwa pia
Mtoto wa kombani ni mshenzi sana, amemuumbua mama ake maana alipata ubunge kwa kupitia ngono, huo ubunge wa kuchaguliwa alipata tiketi kwa kubebwa na mwanasiasa mkongwe ambae alikuwa hawara yake mpaka kuzaa nae, celina ameacha kiti kwa mawanae kwa kuwa ni mapokeo ya ngono kwa ccm, asitukane watu wakati mama ake alikuwa malaya, baada ya kupata madaraka huyo alie muweka hapo pia alimkataa na kuendelea na vigogo wengine, kijana ni zao la zinaa ndio maana punguani.NImemsikiliza vizuri yule mtoto wa Celine Kombani,alivyoongea sivyo unavyoliweka.In short ametudhalilisha wanawake plus Marehemu Mama yake,hope Mama yake ni Mwanamke pia
Siyo hivyo sisi tunajuwa mama yake alipataje uwaziri lakini hatukusema na siyo hivyo tu dogo mwenyewe huyo ni mtumiaji wa madawa na watu waliomchagua wanajuwa hivyo ila walifanya huruma kwa ajili ya mama yake.Kwa jina lako unaonyesha wewe ni wa jinsia ya kike na maana ya jina lako ni ushindi.Nilitegemea ukemee kitendo cha kudhalilishwa wanawake,kesho ukigombea nafasi za uongozi kumbuka argument ya Mtoto wa Celine Kombani itakuwa juu yako.
Jiulize je,Mawaziri wanawake na wakuu wa mikoa wanawake pamoja na yeye Tulia walitembea na nani ili kupata hiyo nafasi?
Tunasikia eti naye Ana Doctorate what if angeambiwa PhD yake ameipata kwa mahusiano ,kama walivyoambiwa wabunge wa UkawaTulia Ackson atavuruga bunge , imethibitika kwamba hana uwezo .
Msimamo wangu ni kusiwepo na viti maalum? Kama huyu mtu ameletwa kiupendeleo kwa sababu mama yake alikuwa mbunge au kiongozi hili ni jukumu la wananchi kumpima na kuamua kumkubaki au kumkataa. MOJA YA UJINGA KWENYE TAIFA LETU NI HILI LA VITI MAALUM KIMEKUA KICHAKA. nitakupm nikueleze kisa fulani..