Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,397
Joyce Mukya mbunge wa viti maalumu aliyezaa na Mbowe mchujo wake ulifanyika kuanzia wilaya,mkoa hadi Taifa? Halima Mdee ajibu hili
Kamuulize Joyce na siyo Mdee,na wale mabinti waliotembea na Mwigulu nao wamepataje Ubunge??Hivyo ujue kuzaa au kutokuzaa na Mbunge mwenzako isiwe sababu ya kudhalilisha wanawake.
Na kumbuka statement yake iko too wide.Mama yake Cline Kombani alitembea na nani??