Nahitaji uvumilivu

Nkulu wa nchito

JF-Expert Member
Dec 13, 2019
1,234
1,609
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya kujichukulia sheria mkononi nikishindwa itabid nitafute wale wa kwenye magroup ya whatsapp
 
Jitahidi Kujishughurisha. Fanya Kazi Za Nyumbani , Soma Au Fanya Mazoezi Ya Kimwili, Zinasaidia Sana Kupunguza Nyere. Kumbuka Kukubali Changamoto Ni Sehem Moja wapo Ya Maisha.
 
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya kujichukulia sheria mkononi nikishindwa itabid nitafute wale wa kwenye magroup ya whatsapp
Jiwekee utamaduni kila mwishon wa mwezi mkeo anarudi na kila kati ya mwezi wewe unaenda
 
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya kujichukulia sheria mkononi nikishindwa itabid nitafute wale wa kwenye magroup ya whatsapp
Kuna mtu anaitwa Yakobo baadae akabatizwa kuwa Israel. Ndiye baba na babu yao akina Nentanyahu pale mashariki ya kati wanaochuana na Palestine kila uchao.

Mazingira yalilazimisha akaoa mke Leah na mdogo wake Rahel au Rachel kwa kizungu cha uingereza. Alitapeliwa na baba mkwe ambaye ni mjomba wake pia, ikabidi awachukue wote ili kukidhi tamanio la moyo wake.

Yakaja mashindano tena ya wake zake mkubwa Leah na mdogo Rahel kutaka wapate watoto wengi. Ikabidi mzee Yakobo apite na beki 3 wote wawili yaani wa Leah na Rahel. Akazaa nao watoto safi kabisa.

Usiseme nakushauri umpitie beki 3 wako, HAPANA. Ila tayari umeshawekeza moyo wako kwa beki 3 wenu na hapo lazima utapita nae tu hapa umekuja kutafuta confirmation tu.

LINDA SANA MOYO KULIKO YOTE ULINDAYO. Ova
 
nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.
Hilo jicho la beki 3 umeanza kuliona na kulitamani baada ya mkeo kupata kazi mkoa mwingine au hata kipindi yupo? Basi kama ilikuwa hivyo hata kipindi yupo endelea kukaza. Vinginevyo mkeo kupata kazi nje ya mkoa wako ni kisingizio tu tayari ulishakuwa na tamaa na huyo beki 3 na lazima ungempitia haijalishi mkeo yupo au hayupo
 
Achana na hizo mambo aisee panga siku umtembelee wife hapo kwa dada wa kazi majuto yatakuwa mengi nakuhakikishia.
 
Hilo jicho la beki 3 umeanza kuliona na kulitamani baada ya mkeo kupata kazi mkoa mwingine au hata kipindi yupo? Basi kama ilikuwa hivyo hata kipindi yupo endelea kukaza. Vinginevyo mkeo kupata kazi nje ya mkoa wako ni kisingizio tu tayari ulishakuwa na tamaa na huyo beki 3 na lazima ungempitia haijalishi mkeo yupo au hayupo
Dah sawa
 
Kaa ukijua hao mabeki 3 huwa na rutuba ya ziada na uwezo wa kukusahaulisha condom, ukigusa tu, mimba.

Kabla ya kwenda kwenye magroup vuta picha mkeo nae kaenda kwenye magroup kutafuta mabwana na yeye sababu ya upwiru.
Ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom