Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,234
- 1,609
Jiwekee utamaduni kila mwishon wa mwezi mkeo anarudi na kila kati ya mwezi wewe unaendaNina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya kujichukulia sheria mkononi nikishindwa itabid nitafute wale wa kwenye magroup ya whatsapp
Kuna mtu anaitwa Yakobo baadae akabatizwa kuwa Israel. Ndiye baba na babu yao akina Nentanyahu pale mashariki ya kati wanaochuana na Palestine kila uchao.Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya kujichukulia sheria mkononi nikishindwa itabid nitafute wale wa kwenye magroup ya whatsapp
Atafute wa ofisini au boda wa kijiweni karibu yakeNa mke wako kule afanyeje sasa, kama ww utatafuta wa kwenye magroup.
Huu ndio ushauri anaoutafuta ukisoma akili zakePambana utakaposhindwa kilambe!
muhimu epuka mimba na magonjwa!
Hilo jicho la beki 3 umeanza kuliona na kulitamani baada ya mkeo kupata kazi mkoa mwingine au hata kipindi yupo? Basi kama ilikuwa hivyo hata kipindi yupo endelea kukaza. Vinginevyo mkeo kupata kazi nje ya mkoa wako ni kisingizio tu tayari ulishakuwa na tamaa na huyo beki 3 na lazima ungempitia haijalishi mkeo yupo au hayuponikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.
Dah sawaHilo jicho la beki 3 umeanza kuliona na kulitamani baada ya mkeo kupata kazi mkoa mwingine au hata kipindi yupo? Basi kama ilikuwa hivyo hata kipindi yupo endelea kukaza. Vinginevyo mkeo kupata kazi nje ya mkoa wako ni kisingizio tu tayari ulishakuwa na tamaa na huyo beki 3 na lazima ungempitia haijalishi mkeo yupo au hayupo
Nashukuru kwa ushauriAchana na hizo mambo aisee panga siku umtembelee wife hapo kwa dada wa kazi majuto yatakuwa mengi nakuhakikishia.
πππHuu ndio ushauri unaoutafuta ukisoma akili zake
OkKaa ukijua hao mabeki 3 huwa na rutuba ya ziada na uwezo wa kukusahaulisha condom, ukigusa tu, mimba.
Kabla ya kwenda kwenye magroup vuta picha mkeo nae kaenda kwenye magroup kutafuta mabwana na yeye sababu ya upwiru.
Penzi kitovu cha uzembeFocus na kazi acha kuendekeza mapenzi