Nahitaji ufafanuzi wa hili jambo nitaelezea kidogo ufahamu wangu

Annie X6

JF-Expert Member
Mar 16, 2023
681
1,300
Habari hii picha inamaana nitaelezea ila naomba ufafanuzi kwa anayejua zaidi.
Screenshot_20240823_191356_Instagram.jpg


1. Nitaanza na sunlight kwamba jua lina vitamin muhim kwanhiyo ni vema wkt flan kufurahia uwepo..wake na sio kukaa ndani muda wote.

2. Kupunzika. Baada ya kazi ni vema kupata muda wa kutosha upunzishe mwili na akili. Ni tiba bora sana.

3. Mazoezi. Hii iponwazi sana ni vzr kupata dkk 30 za mazoez ya mwili. Mwili unahitaji mazoezi na viungo vyake mara kwa mara. Hili linamsaada kwenye mishipa ya damu, misuli, moyo nk

4.diet. hii nitaipa asilimia 100 kwa umuhimu. Tukiacha kula hovyo hovyo yaani ili mradi umetia kitu tumboni ni jambo baya sana. Diet ni dawa kwa miili yetu. Ulapo tunda, mbogamboga, vitoweo kama samaki ,kuku, dagaa na wanga kidgo ni mlo muhim sana. Bila kusahau kula kwa wakati.

5. Self confidence sijaelewa kabisa.

Mwisho marafiki. Aina ya marafiki wenye maana na umuhim kwako ni muhim sana. Sio unakuwa na marafiki parasite, utapoyeza wakati wako. Marafiki wasio na maana tupa kule
 
Ufafanuzi wako ni sahihi...ila kwenye list ongeza na GOOD MUSIC.

Good Music ni aina yoyote ya music ambao wewe unafurahi na unakonga moyo wako.

Jazia na hii....

Ndoa yenye AMANI


Siyo JOKE...
 
Sunlight is enemy no. 1 of health.
Hujaona mwali aliyewekwa ndani anapotoka anavyokuwa ametakata? Mashallah.
 
Back
Top Bottom