Lomaa lolusa
Member
- May 15, 2017
- 30
- 44
Nahitaji shamba la kununua hapa morogoro mwenye shamba naomba anijulishe
Linapatikana wapi na bei ganiView attachment 2983340
View attachment 2983341
Shamba ninalo lina rutuba ya kutosha linafaa kwa kilimo na ufugaji. Lina ukubwa wa heka 10 pia lina banda kubwa la kufugia
Nina shamba nauza. Shamba lipo Morogoro Kijiji Cha Luwe, wilaya ya Mvomero.Nahitaji shamba la kununua hapa morogoro mwenye shamba naomba anijulishe