Kibobe
Member
- Mar 6, 2017
- 21
- 12
Kina bashite hawatoisha kamweHujajibu swali nililokuuliza, umebwatuka tu maneno ambayo hayana maana kulingana na swali nililokuuliza!
Nimekuuliza hii segment ya love connect ipo kwa ajiri gani hapa JF?
Pia nipe sababu za msingi zinazokufanya uone mtu hawezi kupata mke humu.