Hapa ndiyo penye tatizo. Kama unaamini ndani ya moyo wako kwamba umejitahidi kumuonyesha penzi na badalaNilijitahidi kufanya kwa upande wangu, kumpigia, kumtext, kumtembelea kwake na vizawadi.
Hiyo nguvu nyingi kunipata sijaelewa.. lakini imefikia hatua akinipigia ana shida na hapo atanichatisha na kunipigaia lakini ikiisha tu shida yake basi anarudi tena mbali.
Najitahidi kumpigia na kumtext lakini ndio inakuwa ya upande mmoja zaidi.
Nashukuru kwa ushauri wako
Ndugu wanajamii, nawasalimu.
Mimi ndugu yenu nina shida na ninahitaji msaada wenu ili niweze kukabili hii hali inayonisumbua.
Tatizo langu ni kukata tamaa mapema, siwezi kupigania kitu nakipenda na kukihitaji na mpaka sasa naona nitapoteza mwelekeo.
Niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume mwaka mmoja sasa, lakini huyu mwenzangu alianza kunikalia kimya ghafla, hajibu ujumbe kwa wakati au anaweza asijibu kabisa na akipiga simu anajambo anataka nimsaidie, nikajua pengine ubize wa kazi lakini hali ikaendelea kama mwezi, nilipomuuliza akanijibu kuwa hakujua kama kwa kufanya hivyo " ananikera."
Nikatafakari na kumuuliza kama kuna chochote nimekosea akasema hakuna, sasa nimeamua kujiongeza tu kuwa hapa hamna kitu na bahati mbaya sana akiwa na shida ndio ananitafuta.
Mtaniwia radhi kwa uandishi lakini Ushauri na msaada wenu unahitajika kwa haraka, natanguliza shukrani.
Naona unavutia kwakoHuna tatizo...wew ni aina ya watu (introvert) ambao hawana ile hali ya kujikomba komba/kujipendekeza...
Cha kufanya jipende wew mwenyewe kwanza hao wanaoignore upendo wako watakuja kukupenda badae wao wenyewe..
Nina hali kama ya kwako,huwa inanitokea sana na wote walio dharau upendo wngu uko nyuma weng wao wanajuta...wanatamani waupate sasa baada ya wao kuumizwa Ila nami nakuwa busy na mambo yangu.
Vipi lakin fursa bado ipo?
Apo tumesikiliza upande wako tu bado kwa huyo mwamba nae hawezi kosa neno...Kama kawaida wanawake hua mnalalamika Sana kuhisi hatuwafanyii mazuri Yani kosa moja litafunika mazuri yote.Ndugu wanajamii, nawasalimu.
Mimi ndugu yenu nina shida na ninahitaji msaada wenu ili niweze kukabili hii hali inayonisumbua.
Tatizo langu ni kukata tamaa mapema, siwezi kupigania kitu nakipenda na kukihitaji na mpaka sasa naona nitapoteza mwelekeo.
Niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume mwaka mmoja sasa, lakini huyu mwenzangu alianza kunikalia kimya ghafla, hajibu ujumbe kwa wakati au anaweza asijibu kabisa na akipiga simu anajambo anataka nimsaidie, nikajua pengine ubize wa kazi lakini hali ikaendelea kama mwezi, nilipomuuliza akanijibu kuwa hakujua kama kwa kufanya hivyo " ananikera."
Nikatafakari na kumuuliza kama kuna chochote nimekosea akasema hakuna, sasa nimeamua kujiongeza tu kuwa hapa hamna kitu na bahati mbaya sana akiwa na shida ndio ananitafuta.
Mtaniwia radhi kwa uandishi lakini Ushauri na msaada wenu unahitajika kwa haraka, natanguliza shukrani.
1. Umri late 20'sKabla ya kukushauri ni bora ujibu haya maswali:
1. Una miaka mingapi?
2. Huyu ni mchumba? Au mnakulana tu?
3. Una msupport financial?
4. Wewe Una Kazi?
5. Yeye Ana Kazi?
Ukijibu hayo maswali kwa ukweli ninaweza kukushauri vizuri sana, Kama hutaki kuyajibu then ushauri wangu;
“Achana na huyo mtu, Ganga moyo wako, achana na kufukuzia mahusiano, yatakuja yenyewe”
Asante kwa ushauriHapa ndiyo penye tatizo. Kama unaamini ndani ya moyo wako kwamba umejitahidi kumuonyesha penzi na badala
yake jamaa bado anakutenda hivyo, ni vyema ukaacha kuuchosha moyo wako. Acha kumbembeleza, mpe nafasi
"anayodhani" anaihitaji. Jilinde asikutumie, yaani acha kuendekeza shida zake. Asipojiongeza itabidi wewe ujiongeze usonge mbele na maisha.
Kanizidi elimu, family status hatujazidiana sana(kwa mujibu wa maelezo yake maana sijawahi kuonana nao), financially sina hakika sana hakuwa ananiambia vingi kuhusu uchumi wake.Wewe unaona na huyo mwanaume mnaendana?
KiElimu, Family Status na Financial Freedom?
Isije kuwa alikuja kwako kwa papuchi tu.
Nashukuru lakini tulikuwa tunawasiliana sana asubuhi kabla ya kazi na jioni baada ya kazi.. hapa katikati labda kuwepo na kitu cha lazima na hii ni kutokana na nature ya majukumu yetu.Apo tumesikiliza upande wako tu bado kwa huyo mwamba nae hawezi kosa neno...Kama kawaida wanawake hua mnalalamika Sana kuhisi hatuwafanyii mazuri Yani kosa moja litafunika mazuri yote.
Mtafute wewe ukiona yupo kimyaHakuna niliyemignore, ila hii hali ya kukaliwa kimya bila sababu inanitatiza na kunifanya nione hapa nahitaji kuendelea mbele.