Nahitaji msaada wa Lodge au Hotel Mwanza

Minjingu Jingu

Senior Member
Nov 2, 2023
138
505
Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini.

Cost iwe tsh 30,000 mpaka 40,000. Sehemu isiwe yenye kelele. Iwe nzuri pia ja yenye heshima.isiwe katika mji sehemu kama za kariakoo,manzese au buguruni.

Nashukuru kwa msaada wenu ambao ni muhimu sana kwangu.pia isiwe mbali sana from airport maana nitakuwa nakuja na kutoka Mwanza kwa kutumia ndege kila mara.
 
Des Grand Hotel Buzuruga mwananchi. Kwa 40,000 unaishi Safi kabisa
 
Njoo lesa garden,udambue vitoto vya chuo vimeishiwa boom
nje kdg na mji,lake view,imezungukwa na beach kadhaa kama avash,samanene,wag hill,jembe ni jembe kiasi kwamba unaeza badili mara moja moja sehemu za kuvinjari kwa bei poa,utulivu 100%
gharama ina range mle mle kwenye budget ako.
ukihitaji nicheki 0767911491
 
Mkuu funguka tu ikiwa unahitaji ile huduma yetu pendwa nikuunganishe na mtoto mmoja mkali sana akupokee akutembeze mpaka uenjoy ziara yako ya uchakataji wa mbususu za kisukuma !
Uzuri wake bei ni elekezi kabisa
Mkuu upo serious na huyo mtoto nije Inbox?
 
Back
Top Bottom