Nahitaji mkopo, nitarejesha na riba ya 25%

Nitumie picha ya nyumba na hati zake PM nifanye uchunguzi ikiwa Poa nakupa 15m fasta ila interest ya miezi mi3 kwa pamoja uniletee jumla na deni 25m kama upo tayari fuata maelekezo.
 
microfinance nyingi wanaweza kukupa mkopo wa namna hiyo. sio hela nyingi sana na muda wa marejesho mafupi na una collateral.
 
W
microfinance nyingi wanaweza kukupa mkopo wa namna hiyo. sio hela nyingi sana na muda wa marejesho mafupi na una collateral.[
 

Attachments

  • IMG-20160508-WA0050.jpg
    IMG-20160508-WA0050.jpg
    36.5 KB · Views: 27
  • IMG-20160508-WA0051.jpg
    IMG-20160508-WA0051.jpg
    31.2 KB · Views: 23
  • IMG-20160508-WA0053.jpg
    IMG-20160508-WA0053.jpg
    40.2 KB · Views: 24
  • IMG-20160508-WA0055.jpg
    IMG-20160508-WA0055.jpg
    36.5 KB · Views: 21
Back
Top Bottom