Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

Hizi sio sifa za kumfanya mtu akuoe. Serious people dont look at characteristics you mentioned. Are you aware of inner beauty? Try to do research on what men want in their wives and start over again.
Inner beauty achia kwenye x-ray machines.. Yeye haoni and Dont care about that
 
"Hizi sio sifa za kumfanya mtu akuoe. Serious people dont look at characteristics you mentioned. Are you aware of inner beauty? Try to do research on what men want in their wives and start over again.
Una uhakika utampata mtu wa kukuoa humu kweli? ebu ni pm tafadhar
Huna sifa tunazohitaji wanaume.sifa ulizoziweka niza watoto wa kiume."QUOTE

Acheni kumvunja moyo mdada wa watu mbona wengi tu humu mmewaponda lakini baadae wanarudi na ushahidi wamepata waliokuwa wanawatafuta? Nina imani na huyu atapata tu na atarudi na ushuhuda ndoa itafungwa na wewe usiyeamini na usiyetaka kutafuta kupitia hap jf kazi yako kuponda watafutaji wakati wewe huna utasubiri sana utakumbuka shuka kumeishakucha. Jf ndo kila kitu hapa mapenzi yanazaliwa humuhumu na ndoa zinafungwa humu na watoto wanapatikana humuhumu na uzee nao utakukuta humuhumu na hata kifo kitakukuta hapahapa.
 
Hivi mapenzi ya dhati yakoje ??Naskia kuna wengine bila kuwapa kipondo cha dhati wanaona huwapendi
 
Hizi sio sifa za kumfanya mtu akuoe. Serious people dont look at characteristics you mentioned. Are you aware of inner beauty? Try to do research on what men want in their wives and start over again.
Msimkatishe tamaa, mbona amejieleza vizuri tu? Details nyingine ni baada ya kukutana. Kila la kheri dada.
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Ww ni mwalimu, nesi, askari au dr?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom