Nahitaji kumchukua mtoto wangu

Mie co mkamilifu,ila nachokiona kwako ni kulejeli na dharau ila wala hazinisumbui
Hadi kufikia hapo inaonesha una matatizo.Unakuja kujiliza JF wakati hutaki kuzikubali changamoto zako.Kaa chini utulie na kujiuliza wapi unakwama?Tatizo unataka kutuaminisha mama wa mtoto ndiye mkorofi.
 
usitumie sheria kaeni muelewane mama mtu akigoma basi fanya mpango wa kujenga tuu ukaribu kufuatilia ukuaji na malezi ya mtoto wako utanishukuru.
 
Pole sana mkuu, unapita kwenye changamoto kama zangu, hatutofautiani sana. Msaada mkubwa ni madawati ya sheria na ustawi wa jamii. Ukiona umeshindwa wewe mwenyewe pita huko.
 
Achana nae Kama ni wakwako atakuja mwenyewe unatesekaje wenda hiyo ndio fimbo mama mtu anatumia kukuchapia
 
Haya mambo mwisho wa siku yanamuathiri mtoto, watu wananyang'anyana mtoto ili tu kukomoana.
Lazimisha kumchukua mtoto kama tu anaishi mazingira hatarishi.
Wanaume mnawachukua watoto mnawapelekea mama wa kambo.
Shida huwa mnageuza watoto kama sehemu ya kipato.
Na ujeuri wa aina zote mnatuonesha.
Yaani unatukanwa matusi mpaka mama yako mnaunganishwa.
 
Nmeshatoa muda na bahati mbaya wazazi wa mwanamke wanamuunga mkono mtoto wao.
Mie binafsi kumuacha mtoto nafsi inakataa kabsa na pia kadiri anavyoendelea kuwepo kule anamezeshwa sumu na mbaya zaidi mtoto anakaa na wazazi wa mamake na c yeye mwenyew kama hawezi kukaa nae kwann hataki kumuachia????
Acha kulipa ada na uache kabisa kutoa matunzo.
 
Mtoto hagombaniwi mkuu, so long umejitahidi kufanya lolote kwa mtoto wako lakini mijitu haitambui mchango wako.. Kaa tulia mtoto akihitaji baba yake watakuja.. Hawawezi pata baba mwingine ni wewe tu kiongozi..
 
Wakuu nina mwanangu ambaye nilizaa na mke wa kwanza ambaye tumeachana miaka sita iliyopita.

Na hivi sasa mtoto ameshafikisha umri wa miaka 8, nahitaji kumchukua mwanangu nikae naye. Naomba msaada wa kisheria tafadhali.
Katoe mahari uchukue mwanao. Hilo halikuwa box lililobeba mwanao. Naye ni binti watu.

Mbambamba acha
 
Back
Top Bottom