Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,466
- 6,920
Unakuwa designer wa ellectronics devices.Kama ni app za kawaida unapiteza muda.Mimi nahitaji kujifunza Assembly language na Machine language maisha yangu siku zote yanaenda Anticlockwise
Hapana ukisoma assembly language unakuwa unaijua computer from the lowest level,we unadhani programmer wa assembly language(low level) na wa high level language nani yuko vizuri,Unakuwa designer wa ellectronics devices.Kama ni app za kawaida unapiteza muda.
Hivi prof msele alisoma HKL kweli?Yes unaweza iva mkuu mwalimu wangu wa compiler technology na operating system mwaka 2011 Prof Msele alisoma HKL, Muhimu ni bidii na ujue kuna logic za hesabu ila sio programming yote ni hesabu mengine utajifunza on the go na logic nyingine ni repitetive utajikuta unazoea , imagine nchi za wenzetu watoto wanafundishwa programming wewe huna sababu ya kuhofia kabisa ukishaanza utaona inafurahisha kuendelea muhimu usi deep dive anza pole pole.
Ukitakabkuijua na computer lazima usome na electronics digital electronics kitu amvacho hakina faida.Hivi ukijua komputrler ina add, substructuct multiply number inskusaidia ninni wakati were inataka tu ikusaidia kujumlusha na sio inajumlishaje.Kwa hio unasoma kwa dhamira ya kusoma si kutafuta pesa.Hapana ukisoma assembly language unakuwa unaijua computer from the lowest level,we unadhani programmer wa assembly language(low level) na wa high level language nani yuko vizuri,
Ukiijua from down top fashion you can control it whatever you want,hususani kwenye system software sio kwenye application software,what I want ni kuijua computer kinagaubaga but nikitaka kumake money ndio narudi huko kwenye majava sijui c++ na vingineUkitakabkuijua na computer lazima usome na electronics digital electronics kitu amvacho hakina faida.Hivi ukijua komputrler ina add, substructuct multiply number inskusaidia ninni wakati were inataka tu ikusaidia kujumlusha na sio inajumlishaje.Kwa hio unasoma kwa dhamira ya kusoma si kutafuta pesa.
Naomba kujuzwa, tofauti ya C, C#, C++ na visual basic.net. Je, zinatofautiana vipi katika programming?Mimi sikusoma c++, ila nilisoma c ambayo sikuimasta vizuri, lakini c# nimeimasta vizuri sana na kuelewa sana kuhusu OOP, japo kabla nilienda kwanza kwa Event Driven Programming (Visual Basic)
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujuzwa, tofauti ya C, C#, C++ na visual basic.net. Je, zinatofautiana vipi katika programming?
Nauliza hivi kwa kuwa nazionaga katika software moja ya Microsoft visual studio.
Nashukuru kwa majibu yako, lakini hujajibu kuhusu visual basic. netC ni procedural languange na hai support classes na Objects, while C++ yenyewe ni procedural na pia ni OOP(Object Oriented Programming).
Tofauti kati ya C++ na C# ni kuwa C++ is the low level programming language ambaye inaongeza additional features za object na classes to its base language ambayo ni C. C++ complies down to machine language. C# is the high level programming language which complies down to CLR(Common Language Runtime). Nimejitahid kueleza kwa kiswahil japo ni vigumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa majibu yako, lakini hujajibu kuhusu visual basic. net
Nashukuru kwa majibu yako, lakini hujajibu kuhusu visual basic. net
Yes unaweza iva mkuu mwalimu wangu wa compiler technology na operating system mwaka 2011 Prof Msele alisoma HKL, Muhimu ni bidii na ujue kuna logic za hesabu ila sio programming yote ni hesabu mengine utajifunza on the go na logic nyingine ni repitetive utajikuta unazoea , imagine nchi za wenzetu watoto wanafundishwa programming wewe huna sababu ya kuhofia kabisa ukishaanza utaona inafurahisha kuendelea muhimu usi deep dive anza pole pole.
Mh! Mkuu mimi sijui chochote kuhusu hizo languages, huwa naziona tu c, c#, c++ na visual basic ambazo niliambiwa zote ni programming languages. Sasa kwa kuwa naziona katika software moja ya ms studio, ndiyo nilihitaji kufahamu utofauti wake.
Kwanza jiulize what do you want to archive with programming?Wakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers,
Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi.
Nimejarb kujfunza kwenye solo learn language ya Java na c++ lakini inapofika na mimi kutaka kufanya kwenye computer ili kuweka hizo code ndio sijui naazia wapi.
Sijui nadownload software za hizo language na compiler au vp Yan happy ndio tatizo au hi kitu inafanywa kwa njia gan wadau?
lakini mbona python inaweza fanya mengi mkuuWakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers,
Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi.
Nimejarb kujfunza kwenye solo learn language ya Java na c++ lakini inapofika na mimi kutaka kufanya kwenye computer ili kuweka hizo code ndio sijui naazia wapi.
Sijui nadownload software za hizo language na compiler au vp Yan happy ndio tatizo au hi kitu inafanywa kwa njia gan wadau?