Nahitaji kufahamu naanzia wapi kufanya programming kwenye lugha ya java na C

Ukitaka kujifunza programming mwenyewe pita njia za waliojifunza wenyewe.Binafsi baada ya kudevelop interest nikajuzwa kuwa unaweza kujifuza coding mwenewe ilikuwa2011.
Nikaanza kuingia google bila research za kutosha, nikaanza kusoma nilifika mpaka pointers, arrays nikawa interrupted hivyo sikuendelea.Kipindi chote nikawa ninatafiti nini ni nini.
Knowledge niliopata ni kwamba programming ni uwanja mkubwa sana.
Kwa wewe unaejifunza wataalamu wakubwa wanashauri uanze na lugha nyepesi has a smallalk na python.
Baadhi ya source wanasema unaweza anza java kwa sababu sio ngumu kama C zote halafu ni object oriented hivyo ni rahisi kujifunza lugha yoyote.
Jambo lingine unatakiwa ujifunze lugha kulingana na popularity ya hio lugha, soko lake.Nilivyosoma Mimi ni kwamba C++ ni nzuri kwa GAME development na window based software.Kwa taarifa zangu ni kwamba game development haina soko tena kwa soko tena kwa sababu ya market saturation na teknolojia kukua. Nina mengi naomba niishie hapo.
 
Unakuwa designer wa ellectronics devices.Kama ni app za kawaida unapiteza muda.
Hapana ukisoma assembly language unakuwa unaijua computer from the lowest level,we unadhani programmer wa assembly language(low level) na wa high level language nani yuko vizuri,
 
Yes unaweza iva mkuu mwalimu wangu wa compiler technology na operating system mwaka 2011 Prof Msele alisoma HKL, Muhimu ni bidii na ujue kuna logic za hesabu ila sio programming yote ni hesabu mengine utajifunza on the go na logic nyingine ni repitetive utajikuta unazoea , imagine nchi za wenzetu watoto wanafundishwa programming wewe huna sababu ya kuhofia kabisa ukishaanza utaona inafurahisha kuendelea muhimu usi deep dive anza pole pole.
Hivi prof msele alisoma HKL kweli?

Nafikiri ndio mwafrica pekee mwenye programming language yake

MTL language.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana ukisoma assembly language unakuwa unaijua computer from the lowest level,we unadhani programmer wa assembly language(low level) na wa high level language nani yuko vizuri,
Ukitakabkuijua na computer lazima usome na electronics digital electronics kitu amvacho hakina faida.Hivi ukijua komputrler ina add, substructuct multiply number inskusaidia ninni wakati were inataka tu ikusaidia kujumlusha na sio inajumlishaje.Kwa hio unasoma kwa dhamira ya kusoma si kutafuta pesa.
 
Ukiijua from down top fashion you can control it whatever you want,hususani kwenye system software sio kwenye application software,what I want ni kuijua computer kinagaubaga but nikitaka kumake money ndio narudi huko kwenye majava sijui c++ na vingine
 
Mimi sikusoma c++, ila nilisoma c ambayo sikuimasta vizuri, lakini c# nimeimasta vizuri sana na kuelewa sana kuhusu OOP, japo kabla nilienda kwanza kwa Event Driven Programming (Visual Basic)

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujuzwa, tofauti ya C, C#, C++ na visual basic.net. Je, zinatofautiana vipi katika programming?
Nauliza hivi kwa kuwa nazionaga katika software moja ya Microsoft visual studio.
 
C ni procedural languange na hai support classes na Objects, while C++ yenyewe ni procedural na pia ni OOP(Object Oriented Programming).
Tofauti kati ya C++ na C# ni kuwa C++ is the low level programming language ambaye inaongeza additional features za object na classes to its base language ambayo ni C. C++ complies down to machine language. C# is the high level programming language which complies down to CLR(Common Language Runtime). Nimejitahid kueleza kwa kiswahil japo ni vigumu sana

Nashukuru kwa majibu yako, lakini hujajibu kuhusu visual basic. net
 
Umenikumbusha huyo mtu, pamoja sana informatics
Yes unaweza iva mkuu mwalimu wangu wa compiler technology na operating system mwaka 2011 Prof Msele alisoma HKL, Muhimu ni bidii na ujue kuna logic za hesabu ila sio programming yote ni hesabu mengine utajifunza on the go na logic nyingine ni repitetive utajikuta unazoea , imagine nchi za wenzetu watoto wanafundishwa programming wewe huna sababu ya kuhofia kabisa ukishaanza utaona inafurahisha kuendelea muhimu usi deep dive anza pole pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahis labda ungeuliza nini maana ya .net

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! Mkuu mimi sijui chochote kuhusu hizo languages, huwa naziona tu c, c#, c++ na visual basic ambazo niliambiwa zote ni programming languages. Sasa kwa kuwa naziona katika software moja ya ms studio, ndiyo nilihitaji kufahamu utofauti wake.
 
Wakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers,

Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi.

Nimejarb kujfunza kwenye solo learn language ya Java na c++ lakini inapofika na mimi kutaka kufanya kwenye computer ili kuweka hizo code ndio sijui naazia wapi.

Sijui nadownload software za hizo language na compiler au vp Yan happy ndio tatizo au hi kitu inafanywa kwa njia gan wadau?
Kwanza jiulize what do you want to archive with programming?

Je ni app development?

Je ni web development?

Je unataka kujifunza mambo ya electronics na IoT?

Je unataka kutengeneza software za desktops?

Ukisha jibu hayo maswali basi utajua usome nini, huweza sema tu nataka kusoma java au c au c++...its not work like that unless kama uko chuo unasoma kupata cheti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers,

Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi.

Nimejarb kujfunza kwenye solo learn language ya Java na c++ lakini inapofika na mimi kutaka kufanya kwenye computer ili kuweka hizo code ndio sijui naazia wapi.

Sijui nadownload software za hizo language na compiler au vp Yan happy ndio tatizo au hi kitu inafanywa kwa njia gan wadau?
lakini mbona python inaweza fanya mengi mkuu
 
Back
Top Bottom