Nahitaji kufahamu naanzia wapi kufanya programming kwenye lugha ya java na C

Wisdom Flag

Member
Oct 16, 2018
28
18
Wakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers,

Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi.

Nimejarb kujfunza kwenye solo learn language ya Java na c++ lakini inapofika na mimi kutaka kufanya kwenye computer ili kuweka hizo code ndio sijui naazia wapi.

Sijui nadownload software za hizo language na compiler au vp Yan happy ndio tatizo au hi kitu inafanywa kwa njia gan wadau?
 
karibu kwenye ulimwengu wa programming kwanza anza na c++ download compiler inaitwa borland install kwenye computer yako, alafu ingia hapa C++ Tutorial - Tutorialspoint ukimaliza installation uje nikuelekeze ku run hello world programm.
ukiiva kwenye object oriebted programming nakukaribisha kwenye Java mkuu, ukihitaji kujua na c# ni rahisi sana muhimu anza na c++ ukikwama nicheki hapa hapa au PM its free now and then.
 
Safi sana mkuu, naomba kuuliza kwa mtu asiejua chochote kuhusu programming anaweza kuiva kweli, maana nami napenda kujua haya mambo shida ni HKL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes unaweza iva mkuu mwalimu wangu wa compiler technology na operating system mwaka 2011 Prof Msele alisoma HKL, Muhimu ni bidii na ujue kuna logic za hesabu ila sio programming yote ni hesabu mengine utajifunza on the go na logic nyingine ni repitetive utajikuta unazoea , imagine nchi za wenzetu watoto wanafundishwa programming wewe huna sababu ya kuhofia kabisa ukishaanza utaona inafurahisha kuendelea muhimu usi deep dive anza pole pole.
 
karibu kwenye ulimwengu wa programming kwanza anza na c++ download compiler inaitwa borland install kwenye computer yako, alafu ingia hapa C++ Tutorial - Tutorialspoint ukimaliza installation uje nikuelekeze ku run hello world programm.
ukiiva kwenye object oriebted programming nakukaribisha kwenye Java mkuu, ukihitaji kujua na c# ni rahisi sana muhimu anza na c++ ukikwama nicheki hapa hapa au PM its free now and then.
Ahsante San mkuu nalishuhulikia kaka
 
Huo urahisi sio kwa jinsi unavyousema mkuu, unarahisisha sana .
 
Nicheki pm niku guide.
Wakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers,

Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi.

Nimejarb kujfunza kwenye solo learn language ya Java na c++ lakini inapofika na mimi kutaka kufanya kwenye computer ili kuweka hizo code ndio sijui naazia wapi.

Sijui nadownload software za hizo language na compiler au vp Yan happy ndio tatizo au hi kitu inafanywa kwa njia gan wadau?
[/QUOT]
Nicheki pm niku guide
 
Mimi sikusoma c++, ila nilisoma c ambayo sikuimasta vizuri, lakini c# nimeimasta vizuri sana na kuelewa sana kuhusu OOP, japo kabla nilienda kwanza kwa Event Driven Programming (Visual Basic)
karibu kwenye ulimwengu wa programming kwanza anza na c++ download compiler inaitwa borland install kwenye computer yako, alafu ingia hapa C++ Tutorial - Tutorialspoint ukimaliza installation uje nikuelekeze ku run hello world programm.
ukiiva kwenye object oriebted programming nakukaribisha kwenye Java mkuu, ukihitaji kujua na c# ni rahisi sana muhimu anza na c++ ukikwama nicheki hapa hapa au PM its free now and then.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sir..
vipi huwa unatumia izo languages ulizo.mention comment #1 tu?
Me nasoma python and I'm looking for watu wa aina iyo

[1QUOTE="shalet, post: 34454076, member: 125171"]
Yes unaweza iva mkuu mwalimu wangu wa compiler technology na operating system mwaka 2011 Prof Msele alisoma HKL, Muhimu ni bidii na ujue kuna logic za hesabu ila sio programming yote ni hesabu mengine utajifunza on the go na logic nyingine ni repitetive utajikuta unazoea , imagine nchi za wenzetu watoto wanafundishwa programming wewe huna sababu ya kuhofia kabisa ukishaanza utaona inafurahisha kuendelea muhimu usi deep dive anza pole pole.
[/QUOTE]
 
Huo urahisi sio kwa jinsi unavyousema mkuu, unarahisisha sana .

Huyo mdau shalet naona kwenye nyuzi zake kadhaa anarahisisha sana haya madude na kuishia kupotosha, waambie vijana ukweli ili wajiandae kisakolojia.
Ukiamua programming, lazima ukubali uchizi fulani, iwe passion yako, amua kujifungia ndani kwa muda wa mwaka mmoja ukicheza cheza na haya madude na kubali kuvumilia na kuwa na subira maana utatamaushwa mara nyingi ila usikate tamaa, nenda nayo tu.
Hakikisha kila zoezi unalifanya mpaka unalielewa kindani, sio unaruka ruka chapters hatimaye unashangaa hauwezi kuandika hata program simple ya calculator ilhali ulidhani umeelewa lugha.
Kimsingi programming ni practice practice practice, kama kujua lugha za kuongea, lazima uongee na kuitumia lugha ndio uwe na umahiri.
Binafisi kuna lugha niliwahi kujifunza maana mteja alisisitiza mradi wake ufanywe kwa hiyo lugha, nikatengeneza mradi wake ukakamilika kabisa na kupokeza na mambo yakaenda sawa, ila miaka miwili ikapita nikajikuta na uhitaji wa kurudi kwenye hiyo lugha, cha ajabu nikajikuta nimesahau kila kitu hata hello world siwezi kuifanya, ikanilazimu tena nijipige darasa la weekend, sema haikua tabu sana kama awali.
 
kwa sasa natumia java c# na asp.net tu
sir..
vipi huwa unatumia izo languages ulizo.mention comment #1 tu?
Me nasoma python and I'm looking for watu wa aina iyo

[1QUOTE="shalet, post: 34454076, member: 125171"]
Yes unaweza iva mkuu mwalimu wangu wa compiler technology na operating system mwaka 2011 Prof Msele alisoma HKL, Muhimu ni bidii na ujue kuna logic za hesabu ila sio programming yote ni hesabu mengine utajifunza on the go na logic nyingine ni repitetive utajikuta unazoea , imagine nchi za wenzetu watoto wanafundishwa programming wewe huna sababu ya kuhofia kabisa ukishaanza utaona inafurahisha kuendelea muhimu usi deep dive anza pole pole.
[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir mwaka wakwanza chuo nilijifunza introduction to high level programming hapo tulisoma C++ field nikafundishwa visual basic.net na nika develop hospital managenent system kwa wiki 6. mwaka wa pili nikajofunza java na internet programming semister moja nilisoma lugha za web programming kuanzia php javascript jquery ajax plus css na html5 hiyo ni semister moja kwa miezi 4 bado hujaongeza framework kama laravel na codeigniter nikaja kujifunza c# na asp.net, nimekuja kujifunza spring framework na spring boot. vyote hivyo natumia muda mfupi sana ndio maana naonekana nime simplify.
Huyo mdau shalet naona kwenye nyuzi zake kadhaa anarahisisha sana haya madude na kuishia kupotosha, waambie vijana ukweli ili wajiandae kisakolojia.
Ukiamua programming, lazima ukubali uchizi fulani, iwe passion yako, amua kujifungia ndani kwa muda wa mwaka mmoja ukicheza cheza na haya madude na kubali kuvumilia na kuwa na subira maana utatamaushwa mara nyingi ila usikate tamaa, nenda nayo tu.
Hakikisha kila zoezi unalifanya mpaka unalielewa kindani, sio unaruka ruka chapters hatimaye unashangaa hauwezi kuandika hata program simple ya calculator ilhali ulidhani umeelewa lugha.
Kimsingi programming ni practice practice practice, kama kujua lugha za kuongea, lazima uongee na kuitumia lugha ndio uwe na umahiri.
Binafisi kuna lugha niliwahi kujifunza maana mteja alisisitiza mradi wake ufanywe kwa hiyo lugha, nikatengeneza mradi wake ukakamilika kabisa na kupokeza na mambo yakaenda sawa, ila miaka miwili ikapita nikajikuta na uhitaji wa kurudi kwenye hiyo lugha, cha ajabu nikajikuta nimesahau kila kitu hata hello world siwezi kuifanya, ikanilazimu tena nijipige darasa la weekend, sema haikua tabu sana kama awali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir mwaka wakwanza chuo nilijifunza introduction to high level programming hapo tulisoma C++ field nikafundishwa visual basic.net na nika develop hospital managenent system kwa wiki 6. mwaka wa pili nikajofunza java na internet programming semister moja nilisoma lugha za web programming kuanzia php javascript jquery ajax plus css na html5 hiyo ni semister moja kwa miezi 4 bado hujaongeza framework kama laravel na codeigniter nikaja kujifunza c# na asp.net, nimekuja kujifunza spring framework na spring boot. vyote hivyo natumia muda mfupi sana ndio maana naonekana nime simplify.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tayari hapa umetaja chuo, ina maana tayari ulikua na fursa ya chuo tofauti na mwenzako anayetaka kupambana mwenyewe.
 
Yer ni kwel mkuu,Kama mm nipo home tu na still ninahitaji kufahamu hi kitu mdogomdogo coz pc ninayo ila guide ya kuanzia wapi ndio cna
 
Mimi nahitaji kujifunza Assembly language na Machine language maisha yangu siku zote yanaenda Anticlockwise
 
Back
Top Bottom