hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 468
- 324
Habari wana jf nina mdogo wangu amemaliza clinical medicine mwaka Jana na ana matokeo mazuri na anatafuta kazi ya kufanya inayohusiana na alichosoma zanzibar kwa part-time yaani asubuhi anasoma kuanzia saa 10 na weekends yuko available.
Pia anajua kupika kwahiyo kama Kuna nafasi za part time tu aweze kujikimu.
Msaada tafadhali
Pia anajua kupika kwahiyo kama Kuna nafasi za part time tu aweze kujikimu.
Msaada tafadhali