Nahisi sijamuelewa mke wangu, nirudi nyumbani?

Teh teh...Kumbuka mleta mada ni yule kituko niliyekutambulisha awali...Hata hivyo kugongewa mara moja sio mbaya mpendwa teh
Namkumbuka si ndo alimrudisha wife kwao akapumzike kisa hachangii post za jamaa mtandaoni ha ha ha
 
Habari wakuu,

Nimefika kazini mapema leo kama kawaida yangu, ili nipate kama nusu saa ya kupumzika na kutafakari na kupangilia kazi zangu za siku nzima...

Sasa nikiwa katika kutafakari kuna jambo nimelikumbuka limenichanganya kidogo....

Huwa tuna kawaida ya kila weekends mimi na mke wangu kufanyiana usafi ikiwemo kunyoana nywele za chini na makwapani. Huwa tunafanya hivi weekends...

Sasa imepita kama wiki 3 nilikuwa busy sana sikumnyoa. Sasa jana usiku nimetoka kazini akaning'ang'ania nimnyoe na hakutaka kabisa kusubiri weekend. Mzee mzima nikachukua kinyoleo nikaanza kazi huku namtania tania na kumtekenyaa hapa na pale...

Sasa kinachonichanganya ni hiki. Wakati namyoa nikabakisha vinywele flani nikamtania kuwa hivi tuviache nitamalizia weekend. Akanijibu..

"Mmmh malizia bana si nitaonekana kituko mie"

Nikacheka nikammalizia, tukaoga tukalaa. .Sasa wakati natafakari mambo yangu hapa job ndo nikaimbuka ile statement yake.

Hivi sijui alimaanisha nini...ataonekana kituko na nani?

Mbaya zaidi nampigia hapatikani na nimeondoka simu yake ina chaji full maana alitumia chaja yangu usiku mzima...

Sijui niombe ruhusa naumwa nirudi nyumbani?

Au shetani tu ananiletea mawazo mabaya?

Hivi inawezekana kweli mke wangu akawa ana.......

Hapa naandika huku machozi yananilenga lenga.

Embu nipeni ushauri jamani
rudi haraka sana
 
Weweee rudi home fasta, kama hayupo akirudi tu kabla ya salamu pima oil ujue kama katoka kumuonesha mtu kiduku ulichokinyoa wewe
Na hizi foleni atawahi kweli? Au ndo atakuta makombo tu
Habari wakuu,

Nimefika kazini mapema leo kama kawaida yangu, ili nipate kama nusu saa ya kupumzika na kutafakari na kupangilia kazi zangu za siku nzima...

Sasa nikiwa katika kutafakari kuna jambo nimelikumbuka limenichanganya kidogo....

Huwa tuna kawaida ya kila weekends mimi na mke wangu kufanyiana usafi ikiwemo kunyoana nywele za chini na makwapani. Huwa tunafanya hivi weekends...

Sasa imepita kama wiki 3 nilikuwa busy sana sikumnyoa. Sasa jana usiku nimetoka kazini akaning'ang'ania nimnyoe na hakutaka kabisa kusubiri weekend. Mzee mzima nikachukua kinyoleo nikaanza kazi huku namtania tania na kumtekenyaa hapa na pale...

Sasa kinachonichanganya ni hiki. Wakati namyoa nikabakisha vinywele flani nikamtania kuwa hivi tuviache nitamalizia weekend. Akanijibu..

"Mmmh malizia bana si nitaonekana kituko mie"

Nikacheka nikammalizia, tukaoga tukalaa. .Sasa wakati natafakari mambo yangu hapa job ndo nikaimbuka ile statement yake.

"Mmmh malizia bana si nitaonekana kituko mie"

Hivi sijui alimaanisha nini...ataonekana kituko na nani?

Mbaya zaidi nampigia hapatikani na nimeondoka simu yake ina chaji full maana alitumia chaja yangu usiku mzima...

Sijui niombe ruhusa naumwa nirudi nyumbani?

Au shetani tu ananiletea mawazo mabaya?

Hivi inawezekana kweli mke wangu akawa ana.......

Hapa naandika huku machozi yananilenga lenga.

Embu nipeni ushauri jamani
 
Mwizi haachi kuibiwa,kama ww ni mwaminifu kaa piga kazi pia mwanaume unapofika wakati unakosa majibu ya maswali rahisi km haya nakuwa na wasiwasi na uelewa wako?
 
Nini kunyoa, sie tunapika, fua, pasia nguo, wekea msosi mezani, weka maji bafuni, wapa tamuu kila siku kila saa bado mnapiga

Tunashukuru kwa hayo yote tatizo ni moja tu kupeleka miguno na ekotite kwa houseboy khaaaa!!
 
Back
Top Bottom