Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 2,900
- 5,408
Habari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma.
Kama kawaida yetu hapa jukwaani ni kushea mawili matatu uliyonayo kama kuna ushauri upatiwe au kujufunza watu wajifunze.
Sasa ndugu zangu mimi kipindi nipo single nilikuwa nikiona wapenzi wanaonekana kupendana hivi mbele yangu basi nachukia mno na kukasirika. Sijui shida ni nini hapo ilikuwa.
Lakini namshukuru Mungu kwa sasa I'm in Love, hiyo hali imetoweka kabisa, kama unapata mtu anakupenda mjali mthamini maana wenye upendo wa dhati wamebaki wachache mno.
Muwe na mfungo mwema😊🙏