Nahisi mke wangu ana mahusiano ya kimapenzi na kaka yake

Hii dunia ina mambo yote yanawezekana kuna Mapacha fulani walikua wanafanyana ,ukaribu waliokua nao ilikua vigumu kwa wazazi kuwashtukia mapema walijua ni ile bond iliyopo baina yao ,siku ya siku Pacha mwanaume akataka kuacha huo mchezo ndio pacha wa kike akataka kujiua ,ndio mwanzo wa wazazi kuwashtukia na kumpeleka pacha mwingine nchi nyingine ili kuwatenganisha
 
Hivi wanawake na wanaume tofauti na ndugu wameisha?!hadi mtu utembee na mdogo wako au ndo kupenda kitonga.wanawake wengi ila mtu anatamani mke wa mtu huku Arusha kuna group huwa linakodishwa kwa shughuli ya kufumania kuna jamaa wanne wa3 ni vibamia huyo alebaki ana mguu wa mtoto ndo huwa anamaliza wa mwisho kwa mgoni wa kiume tena analala na wewe hadi asubuhi lazima uvutwe maini na firigisi.
 
Tuhuma nzito kama hizi, si busara kuziweka public, unless una ushahidi wa kutosha. Cuz ikitokea si kweli, aibu na damage yake si ndogo.

Then again, it could be just another fable. It's JF after all.
 
Ndugu kama anamahusiano na kaka yake na wewe kua na mahusiano na dada ako umkomoe.
 
Itisha kikao cha familia zote mbili mwaga ushahidi. Yaan wazaz wa mkeo na wako na baadhi ya wazee wenye busara. Msimamo wako uwe ni kumuacha
 
Back
Top Bottom