Habari za muda huu wadau!
Nahisi kama tumeacha na mwanamke wangu. Tumekaa naye kwenye mahusiano kwa miaka 2, dini tofauti! Muda mrefu nimemuambia abadili dini ili tuoane, akakubali shingo upande, kuwa akishafunga ndoa anarudi kwenye dini yake, nikamuambia huo usanii siutaki, bora tufunge bomani. Hataki bomani, wala kusikia ndoa za bomani.
Hivi karibuni nilirudi jioni home kutoka kazini, nikamkuta kapekuwa kakuta picha za zamani za X's wangu! Akazichana chana, kwa kifupi nilikuta sebule imejaa vipande vya picha. Kwa hasira nilizopata nikamchapa makofi ma3, pwa pwa pwa pwa na la mwisho pwaaaaah.
Akalia wee wee wee,, nikamuuliza kwann amezichana, wakati hazina madhara kwenye mahusiano yetu, na hajawahi hata kunifumania na msg ya mwanamke kwenye simu yangu. Akajibu, amechana utani tu.
Kwangu mimi zile ni kumbukumbu, kama nikizeeka na-recall life yangu. Kwa hasira nikamwambia simtaki tena, aondoke, na hapo nilikuwa natamani nimwache ili nipate mwanamke wa dini yangu. AKAFUNGA VITU vyake, asubuhi akaondoka.
Toka asubuhi sina raha kabisa, hata kazini mambo hayaendi hasa nikikumbuka yale makofi niliyomtwanga. Nimemuomba msamaha, akasema Mungu ndie atakayenisamehe. Nahisi kama tumeachana mazima hivo. Lengo la kumuomba msamaha ili niwe huru nafsini kwangu, japo naona mgumu kusamehe, japo yeye aliniomba msamaha nikamsamehe.
Ushauri, nimpotezee au nimtafute kwa msamaha wa kweli.
X alishaolewa siku nyingi... sio rahisi tukutane au kukumbushi hata tungekutana. Ndoa inaheshimika, siwezi ingilia ndoa takatifu.We
Jamaan
Sasa Kumbukumbu Ya Nini Umeweka Halafu unataka Kumbadili Dini Mtoto wa Watu ili baadae Aje Ateseke kwa Kumtesa tesa na Ex wako mkikutana.. We ndo unamakosa
Hata kama Ulipompiga Makofi inamaanisha Unampenda ex bado kuliko yeyeX alishaolewa siku nyingi... sio rahisi tukutane au kukumbushi hata tungekutana. Ndoa inaheshimika, siwezi ingilia ndoa takatifu.
Hakuna cha ziada, ila tu sikupenda kwann alizichana, wakati hajawahi hata kusikia nikimtaja, au kuhisi kama nina chepuka... kulikuwa na ulazima gani wa yeye kuzichana....Makubwaa! Hizo hasira zako ni za kipekee.
Ebu weka wazi kilichopo nyuma ya pazia na huyo mpenzi wako wa zamani mana haiingii akilini.
Hapana, kwanza huyo dada nampenda sana, na alikuwa analijua hilo! Hilo sikufurahishwa tu na kuchana picha ambazo hazina impact kwenye mhusiano yetu...Hata kama Ulipompiga Makofi inamaanisha Unampenda ex bado kuliko yeye
0744 097 89.... bahatisha ya mwisho kati ya numeric zote 9, utamptaBora uachane nae tu,Ukiachilia mbali dini,kulia kwenyewe hajui
Tangu lini mwanamke akalia "wee wee wee"?
Nipe number yake kwanza nimfundishe adabu,atachanaje picha za watu?
Habari za muda huu wadau!
Nahisi kama tumeacha na mwanamke wangu. Tumekaa naye kwenye mahusiano kwa miaka 2, dini tofauti! Muda mrefu nimemuambia abadili dini ili tuoane, akakubali shingo upande, kuwa akishafunga ndoa anarudi kwenye dini yake, nikamuambia huo usanii siutaki, bora tufunge bomani. Hataki bomani, wala kusikia ndoa za bomani.
Hivi karibuni nilirudi jioni home kutoka kazini, nikamkuta kapekuwa kakuta picha za zamani za X's wangu! Akazichana chana, kwa kifupi nilikuta sebule imejaa vipande vya picha. Kwa hasira nilizopata nikamchapa makofi ma3, pwa pwa pwa pwa na la mwisho pwaaaaah.
Akalia wee wee wee,, nikamuuliza kwann amezichana, wakati hazina madhara kwenye mahusiano yetu, na hajawahi hata kunifumania na msg ya mwanamke kwenye simu yangu. Akajibu, amechana utani tu.
Kwangu mimi zile ni kumbukumbu, kama nikizeeka na-recall life yangu. Kwa hasira nikamwambia simtaki tena, aondoke, na hapo nilikuwa natamani nimwache ili nipate mwanamke wa dini yangu. AKAFUNGA VITU vyake, asubuhi akaondoka.
Toka asubuhi sina raha kabisa, hata kazini mambo hayaendi hasa nikikumbuka yale makofi niliyomtwanga. Nimemuomba msamaha, akasema Mungu ndie atakayenisamehe. Nahisi kama tumeachana mazima hivo. Lengo la kumuomba msamaha ili niwe huru nafsini kwangu, japo naona mgumu kusamehe, japo yeye aliniomba msamaha nikamsamehe.
Ushauri, nimpotezee au nimtafute kwa msamaha wa kweli.
Hakuna cha ziada, ila tu sikupenda kwann alizichana, wakati hajawahi hata kusikia nikimtaja, au kuhisi kama nina chepuka... kulikuwa na ulazima gani wa yeye kuzichana....

Itakuwa unatokea Musoma kwa kina Wasira ama kule kwa PM mstaafu. Ninae gheto ndo kwanza nimemwambia aongeze speed ya fan.Habari za muda huu wadau!
Nahisi kama tumeacha na mwanamke wangu. Tumekaa naye kwenye mahusiano kwa miaka 2, dini tofauti! Muda mrefu nimemuambia abadili dini ili tuoane, akakubali shingo upande, kuwa akishafunga ndoa anarudi kwenye dini yake, nikamuambia huo usanii siutaki, bora tufunge bomani. Hataki bomani, wala kusikia ndoa za bomani.
Hivi karibuni nilirudi jioni home kutoka kazini, nikamkuta kapekuwa kakuta picha za zamani za X's wangu! Akazichana chana, kwa kifupi nilikuta sebule imejaa vipande vya picha. Kwa hasira nilizopata nikamchapa makofi ma3, pwa pwa pwa pwa na la mwisho pwaaaaah.
Akalia wee wee wee,, nikamuuliza kwann amezichana, wakati hazina madhara kwenye mahusiano yetu, na hajawahi hata kunifumania na msg ya mwanamke kwenye simu yangu. Akajibu, amechana utani tu.
Kwangu mimi zile ni kumbukumbu, kama nikizeeka na-recall life yangu. Kwa hasira nikamwambia simtaki tena, aondoke, na hapo nilikuwa natamani nimwache ili nipate mwanamke wa dini yangu. AKAFUNGA VITU vyake, asubuhi akaondoka.
Toka asubuhi sina raha kabisa, hata kazini mambo hayaendi hasa nikikumbuka yale makofi niliyomtwanga. Nimemuomba msamaha, akasema Mungu ndie atakayenisamehe. Nahisi kama tumeachana mazima hivo. Lengo la kumuomba msamaha ili niwe huru nafsini kwangu, japo naona mgumu kusamehe, japo yeye aliniomba msamaha nikamsamehe.
Ushauri, nimpotezee au nimtafute kwa msamaha wa kweli?