Hahahaha, eti kisado cha karanga.Kumchapa amchape mwenyewe hata siku haijaisha ameanza kulia lia.Bora tu aishie, kuwa na mwanaume kama wewe ni heri kisado cha karanga ntatafuna
Kwa hasira nilizopata nikamchapa makofi ma3, pwa pwa pwa pwa na la mwisho pwaaaaah.
Yeye alikufanyiaga kosa gani na akakuomba msamaha ukamsamehe? Alichepuka au.??Habari za muda huu wadau!
Nahisi kama tumeacha na mwanamke wangu. Tumekaa naye kwenye mahusiano kwa miaka 2, dini tofauti! Muda mrefu nimemuambia abadili dini ili tuoane, akakubali shingo upande, kuwa akishafunga ndoa anarudi kwenye dini yake, nikamuambia huo usanii siutaki, bora tufunge bomani. Hataki bomani, wala kusikia ndoa za bomani.
Hivi karibuni nilirudi jioni home kutoka kazini, nikamkuta kapekuwa kakuta picha za zamani za X's wangu! Akazichana chana, kwa kifupi nilikuta sebule imejaa vipande vya picha. Kwa hasira nilizopata nikamchapa makofi ma3, pwa pwa pwa pwa na la mwisho pwaaaaah.
Akalia wee wee wee,, nikamuuliza kwann amezichana, wakati hazina madhara kwenye mahusiano yetu, na hajawahi hata kunifumania na msg ya mwanamke kwenye simu yangu. Akajibu, amechana utani tu.
Kwangu mimi zile ni kumbukumbu, kama nikizeeka na-recall life yangu. Kwa hasira nikamwambia simtaki tena, aondoke, na hapo nilikuwa natamani nimwache ili nipate mwanamke wa dini yangu. AKAFUNGA VITU vyake, asubuhi akaondoka.
Toka asubuhi sina raha kabisa, hata kazini mambo hayaendi hasa nikikumbuka yale makofi niliyomtwanga. Nimemuomba msamaha, akasema Mungu ndie atakayenisamehe. Nahisi kama tumeachana mazima hivo. Lengo la kumuomba msamaha ili niwe huru nafsini kwangu, japo naona mgumu kusamehe, japo yeye aliniomba msamaha nikamsamehe.
Ushauri, nimpotezee au nimtafute kwa msamaha wa kweli?
Ni makofi matano , nadhani ilitakiwa iwe pwa pwa na la mwisho pwaaa.. hahahaha , jamaa anajua kusimulia sana huyuMkuu hayo makofi hapo ni matatu? Hebu yahesabu tena utujie na hesabu kamili.
Mkuu bila hata kuzama kwa undani kufikiri kwenye mjadala huu, mwanaume mwenzangu ulikosea.Habari za muda huu wadau!