Nafuatilia uchaguzi Kenya: It seems baba will suffer again!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,693
81,671
Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi uliingiliwa vipi na kama kuingiliwa huko kulisabisha kura kwenda ndivyo sivyo na hivyo kumpa ushindi asioustahila Rutto.

Ipo kazi , it seems baba will suffer again!
 
Mbona Njoroge (IT wa Azimio) Katoa kurasa zaidi ya 90 za ushahidi Jinsi KIEMS kit zilichezewa? Same tu Omtatah kaeleza Jinsi server na na KIEMS kit zilichezewa!! So mahakama itaamua ila kusema hakuna ushahidi ni kujitetea tu maana ndio kazi wanayolipwa wanasheria kufanya!!

Ila kwa hali ilivyo uchaguzi unaweza futwa maana hata kama kura hazikuibwa ila mchakato uliingiliwa ambao uliweza athiri matokeo.

Mfano KIEMS kit kugoma ngome za Odinga hivyo wapiga kura walikua wachache.

Chaguzi kufutwa Mombasa na Kakamega ambazo ndio ngome kuu za Odinga nje ya Nyanza!!

Access ya server kupewa anauthorized personnel!! N.k
Tuiachie mahakama itaamua
 
Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi iliingiliwa vipi na kama kuingiliwa huko kulisabbisha kura kwenda ndivyo sivyo na hivyo kumpa ushindi asioustahila Rutto.

Pata uzoefu kwa nguli wa sheria
 
Kenya election: What are these Kiems kits?​

TUESDAY AUGUST 09 2022

An IEBC official holds a KIEMS gadget during tallying at Nyeri Technical in Nyeri town on August 9, 2017. FILE PHOTO | NMG
By ONYANGO K’ONYANGO

Kenya’s elections on Tuesday witnessed sporadic failures of kits used to manage voters’ roll and transmission.

In some stations, the polling clerks were forced to identify voters using the manual registers after the gadgets failed.

What does the law say?​

Under the law, the electoral agency is permitted to use the Kenya Integrated Elections Management System (Kiems) kits to identify voters at the polling station.

The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) loads the Kiems kits with electronic voter identification and results transmission system software, Sim cards of network operators and secure digital (SD) cards containing registered voters’ biographic and biometric data

How is the kit used?​

The Kiems kit digitally identifies voters at polling stations, unlike before, when clerks used a manual register to recognise a voter in the commission’s roll.

When a voter arrives at the polling station, they present their national identity card or passport used at registration.

The polling clerk then uses the Kiems kit to identify and authenticate the voter. They do so by assisting the voter in placing their fingers on the kit for fingerprint identification.

Once identified, the voter is issued with six stamped ballot papers for president, governor, senate, woman representative, MP and member of County Assembly (MCA).

How are results transmitted?​

Apart from identifying the voters, the Kiems kits will also be used to transmit results from the polling stations to the national and constituency tallying centres.

Once vote counting has been done, the presiding officers manually fill out the tally forms, after which they take a picture of the forms. Under the election regulations, Form 34A is the first form used to tabulate the presidential election results. The presiding officer fills it after counting votes at the polling station.

The Form 34A picture is then transmitted through the Kiems kit to the constituency and national tally centres and the IEBC public portal.

Who made the kits?​

The IEBC awarded the tender to Smartmatic International BV in November 2021.

Smartmatic builds and implements electronic voter systems. It was contracted by IEBC to supply up to 14,100 Kiems kits for use in the polls. It is also the software provider for the kits, having replaced OT Morpho, now called Idemia, which was the technology service provider for IEBC in 2017.

Recently, IEBC chairman Wafula Chebukati disclosed that Smartmatic did not provide all the Kiems kits needed for the election, noting that before the contract with the tech firm, the commission had 41,000 working kits.

He said this brings “the total number of the kits that are in good working condition to 55,100.”

Are there disputes over the gadgets?​

Yes. Overreliance on Kiems kits has been at the centre of push and pull between political players and the electoral agency.

Azimio La Umoja One Kenya presidential candidate Raila Odinga and his main rival Deputy President Willam Ruto of the Kenya Kwanza coalition have repeatedly disagreed on the use of Kiems kits, a matter that landed in courts. Last week, the High Court ruled that the manual voter register be used as a complementary system.

The arguments ranged on possible failures of alphanumeric search, keypad, screen pad or booting system malfunctions and battery breakdown. There were also concerns over malware infection, operating system crash or breaking of the kit if it drops.

The electoral agency said it had six extra Kiems kits in each ward across the country to act as a backup.
 
Mbona Njoroge (IT wa Azimio) Katoa kurasa zaidi ya 90 za ushahidi Jinsi KIEMS kit zilichezewa? Same tu Omtatah kaeleza Jinsi server na na KIEMS kit zilichezewa!! So mahakama itaamua ila kusema hakuna ushahidi ni kujitetea tu maana ndio kazi wanayolipwa wanasheria kufanya!!

Ila kwa hali ilivyo uchaguzi unaweza futwa maana hata kama kura hazikuibwa ila mchakato uliingiliwa ambao uliweza athiri matokeo.

Mfano KIEMS kit kugoma ngome za Odinga hivyo wapiga kura walikua wachache.

Chaguzi kufutwa Mombasa na Kakamega ambazo ndio ngome kuu za Odinga nje ya Nyanza!!

Access ya server kupewa anauthorized personnel!! N.k
Tuiachie mahakama itaamua
Sehemu ambazo KIEMS kugoma manual voters registration ilitumika. Pia kugoma kwa hizo KIEMs kunajustfy vipi kuhusu kupungua kwa wapiga kura ....?

Anyway, kitendo cha Baba na team yake kushindwa kuwakilisha physical evidence hasa form 34 A au B ambazo zinaonyesha discrepancy kati ya polling center na IEBC ni upungufu mkubwa. Hiyo inaonyesha kuwa hakukuwa na systematic violations kwenye upigaji na uwakilishaji wa matokeo kutoka kwenye polling stations kwena IEBC.
 
Siku ya kwanza watu walipopiga kura chibukati alisema voters wote ni mil 13, kwenye majumuisho yote voters ni mil 14.3
 
Sehemu ambazo KIEMS kugoma manual voters registration ilitumika. Pia kugoma kwa hizo KIEMs kunajustfy vipi kuhusu kupungua kwa wapiga kura ....?

Anyway, kitendo cha Baba na team yake kushindwa kuwakilisha physical evidence hasa form 34 A au B ambazo zinaonyesha discrepancy kati ya polling center na IEBC ni upungufu mkubwa. Hiyo inaonyesha kuwa hakukuwa na systematic violations kwenye upigaji na uwakilishaji wa matokeo kutoka kwenye polling stations kwena IEBC.
KIEMS kit zilianza fanya kazi kwenye maeneo mengi (Ngome ya Odinga) kuanzia saa 6 Hivyo zipo cases za waliosusa kupiga kura maana waliamka saa 9!! So voter suppression inaweza tumika kama silaha ya kuharibu uchaguzi.

2. Mkuu shida sio fomu, mfano Mombasa wapiga kura walikua almost 40% sababu uchaguzi ulifutwa dakika za mwisho. Ina maana kama Mombasa wangepiga kura walau 60% hizo kura laki 2 zingefukiwa na Baba angekua ikulu.

Anyway mahakama tuone itafanyeje, hata 2017 hakuna kura iliibwa ila mazingira/process ndio ilifanya uchaguzi ufutwe
 
Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi iliingiliwa vipi na kama kuingiliwa huko kulisabbisha kura kwenda ndivyo sivyo na hivyo kumpa ushindi asioustahila Rutto.
Ipo kazi , it seems baba will suffer again!
Acha UONGO
 
2. Mkuu shida sio fomu, mfano Mombasa wapiga kura walikua almost 40% sababu uchaguzi ulifutwa dakika za mwisho. Ina maana kama Mombasa wangepiga kura walau 60% hizo kura laki 2 zingefukiwa na Baba angekua ikulu
kwahiyo mombasa haikupiga kura za urais? I am not informed of this anyway
 
Kwenye uchagzi mkuu wanapiga kura kwa viti 6, diwani, mbunge, mwakilishi wa wanawake, senata, gavana na Rais
Sasa kwa kaunti mbili, Mombasa na Kakamega uchaguzi wa viti vyote ulifanyika kasoro ugavana

Sasa hapo upande wa Raila ndio unadai eti kuhairishwa kwa uchaguzi wa ugavana kulisababisha wapiga kura kuwa wachache ma hivyo kuathiri kura za Odinga

Kitu ambacho ni famba, kwani hata kama ni kweli hao wapiga kura walikuwa wachache si hata kura za Ruto ziliathirika pia?
Hawa jamaa hawana kesi ya maana
 
Uzuri mambo yako hadhari pale Mahakamani.Wacha nguli wa sheria walumbane.
 
Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi uliingiliwa vipi na kama kuingiliwa huko kulisabisha kura kwenda ndivyo sivyo na hivyo kumpa ushindi asioustahila Rutto.

Ipo kazi , it seems baba will suffer again!
Tupe mwenddlezo bwashee
 
Back
Top Bottom