Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

Your very wrong wanawake wanafanana hata kama sasa unaona hakuvutii kuna vibinti vinchepuko vinakuvutia nao watafikia point hiyo hiyo ya mkeo baada ya kuoa. ILA KAMA UNAOA MWANAUME MWENZAKO SAWA LABDA ANAWEZA KUWA TOFAUTI kama ni mwanamke ni hao hao By the way acha ujinga umri mdogo siyo udogo wa akili we mdogo umemaliza chuo una kakazi unajidai maisha magumu ungekuwa unanieleza huo upuuzi wako karibu NINGEKUZABA MAKOFI PUMBAVU we umekuwa kwa shida na unataka na huyo mwanao na mwanamke wa watu apitie ulikopitia stupid
 
tafuta njia mbadala, family is everything
ila kama imeshindikana kabisa, na kweli kabisa kwamba huyo wife imeshindikana kumbadilisha achana nae,
ila nina wasiwasi inawezekana labda kutokana na immaturity yake au yako akawa mjeuri na asie mwelewa lakini akabadilika kadri atakavyo pevuka kiakili na kimaisha,
anyway mimi naamini sana kwenye family but sio kuishi na mtu unreasonable just for the sake of family
Immaturity ya mkewe inaweza ikawa chanzo cha mgogoro unaomkatisha tamaa dogo. Nimeshaona sana hii shida, wanawake wanao olewa na umri mdogo wengi wamekuwa 'headache' kwa waume zao au familia za waume zao. Dogo amvumulie akikuwa ataacha ujeuri
 
Soma kitabu kinachoitwa "BIKIRA YANGU" kilichoandikwa na Privatus Karugendo.

Tatizo kubwa kwenye hali unayopitia ni ugonjwa, wewe unaumwa ugonjwa unaofahamika kama "ghetto fabrigase". Tafuta tiba yake kwa kuwaona wataalam.
 
", everybody who spends time with me, huwa anaishia kusema mimi ni kama Yakobo wa kwenye Biblia, yaani sio Extremely Smart, but I'm Extra Ordinary Clever to a point I almost can get away with anything...CLEAN
who are these people you spend time with??? stop wasting time with drug users. I for one find you so effin' dumb.

if you were so clever how comes you married out of pressure?? how comes you even think of abandoning your kid??? how comes you can't figure out ways to make it with your family?

au uSmart wako ni wa kufanya dili za wizi??

huna uSmart wowote kijana. tena ni jinga namba moja.

kujitia wife sio submissive wakati we ndo mwenye tatizo, you're weak and a coward. you just want an unfortunate woman to belittle and make you feel important.

you're heartless. A BEAST. VERY UNFORTUNATE that someone has YOU as a father. you ain't even a father you're just a sperm donor. mxxxxiiiuuuuuu
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu.na ni wachache sana wanaoacha asili yao,kwa kuwa na wewe ulilelewa ki yatimatima unataka na mtoto wako alelewe kiuyatimatima?. Mimi nakuambia acha upumbavu wako na hiyo elimu yako haijakusaidia,bora huyo mkeo wa 4m 4 anakaa na mwanao alafu cku moja unamfuata mwanao eti wewe ni babake ,kama ni mimi nakupiga risasi.hivi ww wa wapi?
 
Yaani hapo kwenye kutelekeza mtoto ndo nimechoka. I'm getting the vibe that you are the problem. Considering the fact that you have been through a lot growing up without a family, I would think that you would love your kid to death. I mean in this world people will do anything to have kids, and you want to abandon yours? All the best!
 
suala hapo ni dogo tu pitia kitabu flani hivi kinaitwa 5 LOVE LANGUAGE kimeandikwa na gary chapman.....ukimaliza kukisoma tafadhali sana utuletee mrejesho
 
Yaani hapo kwenye kutelekeza mtoto ndo nimechoka. I'm getting the vibe that you are the problem. Considering the fact that you have been through a lot growing up without a family, I would think that you would love your kid to death. I mean in this world people will do anything to have kids, and you want to abandon yours? All the best!
you are letting emotions get in the way of reason, kama wife ameshindikana, masuala ya mapenzi inabidi uyaweke pembeni for the greater good
 
Ulioa ukiwa mdogo and you are still acting kitoto, usimwache huyo mwanamke! Mungu huleta Neema ukiwa na mke wako, na Akiwa analalamika na mwanawe kwa haki Ni lanaa.

Halafu usiseme sio submissive kwako, that's not your business, the bible says "love your life" haijakwambia umpende Akiwa submissive, we Fanya majukumu yako!

WanaJF,

Disclaimer: Naomba kwa mwenye kutoa ushauri asiegemee upande wowote*

Mimi ni moja kati ya vijana waliooa wakiwa na umri mdogo. Nilikuwa nina miaka 21 (now I'm 23) tu na ni kwasababu ya shinikizo la Bosi wangu aliyekuwa kama mlezi wangu kipindi hicho, maana nilimsimulia mazingira yangu ya ukuaji; ni yatima niliyekulia kwenye vituo vya watoto pia nilikuwa nimepitia hekaheka nyingi kama maisha ya mtaani, Mungu si athumani nikafanikiwa kufika chuo na kupata Fani inayoeleweka.

Kingine kilicho leta msukumo wa kuoa ni ulimbukeni wa wanawake maana nilishika pesa hivyo nikawa nafantasize maisha ya mtu mwenye hela na aliyekulia maisha ya kawaida; wazazi, shule, ndugu, marafiki, kula bata, party kila wiki, mitoko n.k. Kwahyo huwa nasema mke huyu alisaidia mimi kutulia maana pengine ningeambulia Ukimwi.

Lakini baada ya kuoa, na hata baada ya kupata mtoto 1, mambo yalianza kuniendea kombo kwa kasi na hakuna nilichofanya nikafanikiwa; iwe ni kujiajri, kutafuta kazi au kutulia kwenye jiji moja. Gharama ya kumantain familia hii na kipato cha kuyumba yumba kilifanya ugomvi usiishe ndani, afya zetu zizorote, na nikaingia kwenye ulevi mzito kuepuka stress ya kutofanikiwa kwenye malengo mbalimbali.

Sasahivi nimeirudisha familia ukweni kwa jina la likizo na mjukuu kutembelea bibi zake, na nimepata kazi mpya ambayo nikidumu nayo, inaenda kunifanya kuwa mmoja wa vijana wazito mjini...lakini sina amani kila nikifkiria gharama za familia na madhaifu ya mke k.v. kutokuwa mwepesi kuomba msamaha pale anapokosea, na ieleweke tupo Dini tofauti. Na nina mconsider "Non-submissive".

Ieleweke kuwa; nina heshimu sana harakati za kuifanya dunia a better place kwa kutozalisha mabinti ovyo, watoto wasio na malezi ya pande 2 na kutokuoa oa ovyo just bcoz u can..I BELIEVE IN FAMILY. Lakini nikiangalia umri wangu (pia watu wamekuwa wakinibeza kwa kuoa haraka vile, na wengine kukata tamaa ya kutowekeza kwangu). Maana wanaona ni kweli I'm fresh, lakini nina msalaba wa ndoa na familia.

Sasa lengo la kuomba ushauri huu, ni ili kupata tafsiri ya uamsho ambao umeanza kuota ndani yang tang wiki jana, kwamba I can forge a better life again...I can re-launch lost opportunities..she's not the first one to be abandoned, and your Son will grow on his own just as you did (did you know you'll reach this much?), Abandon the ship n.k.

Naomba usitumie huruma kunishauri, share facts, share ukweli. Maana hadi umri huu...hakuna huruma iliyowahi kunipa la maana. Mambo makubwa niliyofanikisha maishani ni kwa sababu ya "Cleverness", everybody who spends time with me, huwa anaishia kusema mimi ni kama Yakobo wa kwenye Biblia, yaani sio Extremely Smart, but I'm Extra Ordinary Clever to a point I almost can get away with anything...CLEAN.

Lengo ni kuanza maisha upya kwa kupigania ndoto za maisha yangu bila (mzigo wa) Ndoa au Familia, maana nategemea nguvu zangu mwenyewe, sina urithi sina ndugu...ni jeshi la mtu mmoja. Na mwanzoni kabla ya kuoa nilikuwa nikienda speed kali na nzuri sana.

Nawasilisha.

P.S. Mke hana shughuli, ni form 4 leaver. Nimeshajaribu kumtafutia kazi anashindwa, nikamfungulia biashara ya Hotel mtaji ukafia huko.
 
you are letting emotions get in the way of reason, kama wife ameshindikana, masuala ya mapenzi inabidi uyaweke pembeni for the greater good
Leaving his wife is one thing, but abounding the child is another! Him saying that he managed to get where he is without a family so his kid will manage without him is terrible. Why skip the responsibility of being a dad just because you can't get along with the mother? Alee mwanae, Kama anamuacha mkewe hiyo ni issue nyingine.
 
Binafsi nadhani HAUKO sahihi;
1. Ukijisifia kuwa wewe ni very SMART maana yake HALISI hata kama hujijui ni kwamba wewe ni ARROGANT na ni mgumu kukubali wazo mbadala kwa kujidhani una akili sana. Hiki ndicho kinafanya unalalamika mke sio submissive. Huenda ana HEKIMA kukuzidi potelea mbali utaalamu wako wa Windows au Mac.

2. Nahisi kama mke angefungua thread kukuhusu madhaifu yako huenda hata JF ungekimbia

3. Jansen, hakuna taabu kuoa ukiwa 21 infact unapooa mapema inakupa fursa ya kulea watoto katika ujana wako-PRIME na hii inafaida sana haswa kwenye ku-command discipline ya watoto. Kawaida wadada wana mature HARAKA sana wanapopata watoto (hii ni natural), kwa maana hiyo japo ni mdogo kwako kwa miaka miwili lakini in natural scales ANAKUZIDI kifikra

4. Kusepa ni kuongeza CV mbaya. Kila mtu utajamsikia akisema "huyu jamaa alitelekeza familia"

5. Wazazi wa mkeo walimlea YEYE sasa wewe kuwabana KULEA mwanao NI KOSA

6. Shukuru kwa uliye nae huenda sio wa michepuko, Ukisepa haina maana utaoa malaika unaweza ishia oa kicheche hata houseboy AKALA

7. Mke sio jukumu lake ku-run hotel ili ufurahi anaingiza kipato, hilo la kipato cha familia ni LAKO. Jukumu la mke ni tofauti na linajulikana, akiamua kukusaidia ili familia iingize kipato zaidi ni HIARI.

Ushauri; Komaa, rudisha mwanao na mamake nyumbani lea familia. Acha kudhania wewe ni Albert Einstein, dini yake mwachie. Infact kama una tabia nzuri na ukawa kiongozi mzuri upo uwezekana mbele ya safari atahamia imani yako, au hata wewe kuhamia kwa yake. TULIA usianze kutawanya watoto, Uzeeni itakuboa sana.
 
Soma kitabu kinachoitwa "BIKIRA YANGU" kilichoandikwa na Privatus Karugendo.

Tatizo kubwa kwenye hali unayopitia ni ugonjwa, wewe unaumwa ugonjwa unaofahamika kama "ghetto fabrigase". Tafuta tiba yake kwa kuwaona wataalam.

HAPO NILIPO-BOLD PANANIKUMBUSHA WIMBO MMOJA ALIUTENGENEZA DR. DRE UNAITWA "GHETTO FABULOUS"...We ghetto fabulous money makes the world go round so lets handle this... DAHHH GONE ARE THOSE OLD GOOD DAYS.
 
Siko zote kipimo cha akili ni shida unazopambana nazo, kama utaanza kuzikimbia shida mapema namna hiyo huko mbelen maisha yatakushinda kabisaaaa
 
WanaJF,

Disclaimer: Naomba kwa mwenye kutoa ushauri asiegemee upande wowote*

Mimi ni moja kati ya vijana waliooa wakiwa na umri mdogo. Nilikuwa nina miaka 21 (now I'm 23) tu na ni kwasababu ya shinikizo la Bosi wangu aliyekuwa kama mlezi wangu kipindi hicho, maana nilimsimulia mazingira yangu ya ukuaji; ni yatima niliyekulia kwenye vituo vya watoto pia nilikuwa nimepitia hekaheka nyingi kama maisha ya mtaani, Mungu si athumani nikafanikiwa kufika chuo na kupata Fani inayoeleweka.

Kingine kilicho leta msukumo wa kuoa ni ulimbukeni wa wanawake maana nilishika pesa hivyo nikawa nafantasize maisha ya mtu mwenye hela na aliyekulia maisha ya kawaida; wazazi, shule, ndugu, marafiki, kula bata, party kila wiki, mitoko n.k. Kwahyo huwa nasema mke huyu alisaidia mimi kutulia maana pengine ningeambulia Ukimwi.

Lakini baada ya kuoa, na hata baada ya kupata mtoto 1, mambo yalianza kuniendea kombo kwa kasi na hakuna nilichofanya nikafanikiwa; iwe ni kujiajri, kutafuta kazi au kutulia kwenye jiji moja. Gharama ya kumantain familia hii na kipato cha kuyumba yumba kilifanya ugomvi usiishe ndani, afya zetu zizorote, na nikaingia kwenye ulevi mzito kuepuka stress ya kutofanikiwa kwenye malengo mbalimbali.

Sasahivi nimeirudisha familia ukweni kwa jina la likizo na mjukuu kutembelea bibi zake, na nimepata kazi mpya ambayo nikidumu nayo, inaenda kunifanya kuwa mmoja wa vijana wazito mjini...lakini sina amani kila nikifkiria gharama za familia na madhaifu ya mke k.v. kutokuwa mwepesi kuomba msamaha pale anapokosea, na ieleweke tupo Dini tofauti. Na nina mconsider "Non-submissive".

Ieleweke kuwa; nina heshimu sana harakati za kuifanya dunia a better place kwa kutozalisha mabinti ovyo, watoto wasio na malezi ya pande 2 na kutokuoa oa ovyo just bcoz u can..I BELIEVE IN FAMILY. Lakini nikiangalia umri wangu (pia watu wamekuwa wakinibeza kwa kuoa haraka vile, na wengine kukata tamaa ya kutowekeza kwangu). Maana wanaona ni kweli I'm fresh, lakini nina msalaba wa ndoa na familia.

Sasa lengo la kuomba ushauri huu, ni ili kupata tafsiri ya uamsho ambao umeanza kuota ndani yang tang wiki jana, kwamba I can forge a better life again...I can re-launch lost opportunities..she's not the first one to be abandoned, and your Son will grow on his own just as you did (did you know you'll reach this much?), Abandon the ship n.k.

Naomba usitumie huruma kunishauri, share facts, share ukweli. Maana hadi umri huu...hakuna huruma iliyowahi kunipa la maana. Mambo makubwa niliyofanikisha maishani ni kwa sababu ya "Cleverness", everybody who spends time with me, huwa anaishia kusema mimi ni kama Yakobo wa kwenye Biblia, yaani sio Extremely Smart, but I'm Extra Ordinary Clever to a point I almost can get away with anything...CLEAN.

Lengo ni kuanza maisha upya kwa kupigania ndoto za maisha yangu bila (mzigo wa) Ndoa au Familia, maana nategemea nguvu zangu mwenyewe, sina urithi sina ndugu...ni jeshi la mtu mmoja. Na mwanzoni kabla ya kuoa nilikuwa nikienda speed kali na nzuri sana.

Nawasilisha.

P.S. Mke hana shughuli, ni form 4 leaver. Nimeshajaribu kumtafutia kazi anashindwa, nikamfungulia biashara ya Hotel mtaji ukafia huko.
ulifunga nae ndoa? ya namna gani? wapi?
 
who are these people you spend time with??? stop wasting time with drug users. I for one find you so effin' dumb.

if you were so clever how comes you married out of pressure?? how comes you even think of abandoning your kid??? how comes you can't figure out ways to make it with your family?

au uSmart wako ni wa kufanya dili za wizi??

huna uSmart wowote kijana. tena ni jinga namba moja.

kujitia wife sio submissive wakati we ndo mwenye tatizo, you're weak and a coward. you just want an unfortunate woman to belittle and make you feel important.

you're heartless. A BEAST. VERY UNFORTUNATE that someone has YOU as a father. you ain't even a father you're just a sperm donor. mxxxxiiiuuuuuu

MNHHHHHH...UMEMNYEAAAA....MUACHENI MTOTO ANATAKA KUJARIBU KUWA NA WATOTO KWA KILA MWANAMKE MWENYE KUVAA SKETI..ATAKIJUA KILICHOMFANYA KUKU AKOJOE NA BATA AHAREE.
 
who are these people you spend time with??? stop wasting time with drug users. I for one find you so effin' dumb.

if you were so clever how comes you married out of pressure?? how comes you even think of abandoning your kid??? how comes you can't figure out ways to make it with your family?

au uSmart wako ni wa kufanya dili za wizi??

huna uSmart wowote kijana. tena ni jinga namba moja.

kujitia wife sio submissive wakati we ndo mwenye tatizo, you're weak and a coward. you just want an unfortunate woman to belittle and make you feel important.

you're heartless. A BEAST. VERY UNFORTUNATE that someone has YOU as a father. you ain't even a father you're just a sperm donor. mxxxxiiiuuuuuu
Naona wengi wananukuu vibaya kipengele nilichosema kwamba mimi ni "Clever". Ni kwamba, apart from relationship/marriage failure I'm going through, I'm extremely talented; under the age of 23, I managed to secure 2 high profile jobs in Banks headquarters (names undisclosed)...I have a chain of man-work accomplishments ambazo hutaamini niki-unveil (and I won't do it here, it's not a proper platform)...Hapa nimeleta swala la familia nipate ushauri. FULL STOP. Pia madhaifu yang nayajua fika; I'm arrogant and I have an exaggerated sense of self importance...and I can't solve these now; I'm busy with work and economic projects., na hii familia.
 
Kutelekeza famillliia? pumbaf sana.samahani lkn umenitia hasira
 
Tatizo lako ni ubinafsi unakusumbua, unataka uhuru, na unataka kuiga maisha ambayo hayapo. Watu wengine wanakuwa motivated na familia zao ku work hard wewe unaona ni mzigo? Una tatizo kubwa na aliyekuambia wewe ni smart amekudanganya wewe ni mtoto huelewi dunia inaendaje unaishi kama upo kwenye movies. Forge life huku una familia, who does that? you must be the dumbest of all.
 
Hutonielewa kama utaconclude point yako kwa maneno niliyosema "separately". Yaani kutoa maana ya kauli kwa kuzingatia neno moja moja na sio mantiki ya kauli nzima..sijui umenielewa!!?
 
Back
Top Bottom