Nafazi za kazi kampuni ya Gardaworld

Isaack Newton

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
577
280
Kampuni ya ulinzi ya GARDWORLD inapenda kuwatangazia watu wote nafasi za kazi.
Kwa maelezo zaidi angalia attachment hapo chini.
Screenshot_20250314-180255_Gallery.jpg
 
80k mpaka 150k,,, ndo mishahara ya walinzi wa kampuni ! Tuna safari ndefu sana, huyu mtu ukute anatumia nauli kwenda kazini, ni mjini kapanga na ana familia ! Utaacha kugongewa mkeo kweli ?
 
Back
Top Bottom