Sasa kama mtu CV yako ina mambo mengi na haitoshi Page nne ina maana uweke Font hata 8 pt ili mradi tu zitimie page nne wanazotaka? Dah mbona masharti mengine utafikiri ya kuandika IMLA shuleni?
jamani Wenye Fani Ya Uhasibu Kuna Chance Nimeiona Katika Gazeti La Mwananchi La Leo Tarehe 15/08/2008.
Kama Haukubahatika Kuliona Unaweza Kuni Pm Nikakuandikia Jinsi Tangazo Lilivyo.