Nafasi za Jeshi la Polisi zinatoka lini?

kaka chunga sana kauli zako na matumizi ya lugha kumbuka ile sheria ya makosa ya mitandaoni. nakilicho mtokea yule kijana aliyesifia majambazi kuua polisi sitaki shari.
Acha Ujinga mbona ameandika vizuri tuu wewe tuu ndo umeongeza mawazo yako!
 
Vuteni subra wizara ya mambo ya ndani tunalifuatilia hili kwa ukaribu mkubwa
 
Kwaiyo hapo tuseme baada ya hiyo cozi yao inayoisha mwezi wa 6 wataajiri jkt tu au hata watu wa uraiani!?wakuu naombeni mnisaidie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…