Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Acha Ujinga mbona ameandika vizuri tuu wewe tuu ndo umeongeza mawazo yako!kaka chunga sana kauli zako na matumizi ya lugha kumbuka ile sheria ya makosa ya mitandaoni. nakilicho mtokea yule kijana aliyesifia majambazi kuua polisi sitaki shari.