mambo_safi
Senior Member
- Jul 22, 2019
- 152
- 398
Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
Kila siku lazima nicheki necta nakuta hamna kitu!Inawezekana zikatoka mwezi wa 5
Kuwa na subira mkuu yatatokaKila siku lazima nicheki necta nakuta hamna kitu!
Basi si watoe hayo majina tujiandae mapema?Hiyo sio kazi ya necta nikazi ya tamisemi
Umekubaliana na nani ?Una haraka sana, tulishakubaliana kuwa Kidato cha Tano na Sita ni kupoteza muda tu.
Wenye akili timamu.Umekubaliana na nani ?
Elimu bure unajiandaa nini?Basi si watoe hayo majina tujiandae mapema?
Necta awausiki ni tamisemiKila siku lazima nicheki necta nakuta hamna kitu!
Tc early JuneYata toka lini?